Kweli nimepatikana siamini

Mwambie hivi, nataka kukuuliza swali la kizushi, utafanya nikikuomba niwe na wewe? afu rudi kwenye story za kawaida, lazima nae akili zitashtuka tu ataanza kukufikiria wewe
 
Ukimya wake ndio mtego anaotumia kukutega ila wewe hujui labdatu nikukumbushe kwamba "hata mwanamke aliyetafutwa kwa dawa huamini kapenda kwa moyo wake" sasa wewe mpe kikojoleo halafu utaona mademu zake wote na ukweli wake utajiweka wazi..

Onyo:-
Usije ukaacha kutupa mrejesho
 
Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..

Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!

Usithubutuu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuwi
 
Hapa ni kama umemrushia kuku mchele...huna haja ya kumfukuza umkamate...wait and u will see what will happen...
 
jaribu kufanya uchunguzi kama yuko single kweli sio upeleke mbunyi tu unaweza juta ukija shtuka ana mtoto au ana mtu wake fanya uchunguzi moyo wa mtu ni kiza kinene
 
Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Hakuna mwanaume rijali kamili ambae haumizwi kichwa na mwanamke. Kama sio wewe basi kuna mwingine anaemuumiza kichwa tena vyote viwili cha juu na chini.
 
Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu
Mm nilikuwa cjui kama unanipenda jamani siungeniambia kuliko kuja kunishtakia mitandaoni huku kunitusi tu lady in action.
Ni PM tuyamalize mamaa
Ona mpaka watu wanasema Mchina wangu abiduki Salakasi[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Jilipue tu au kama vipi jitundike ili isiwe so sana !
 
Nunua zawadi kama boxer, sox na 'singlend' umpelekee. It's easy, hakuna mwanaume atashindwa kuelewa level ya mapenzi uliyonayo kwake ukimpa zawadi za namna hiyo.

Don't say anything, a gift is enough.
 


Neybright,
Kindly , give me my potion of black and white because, I know you need me badly.

Thanks.

πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kakuweza...keshajua umenasa
sasa anakuacha ujivalishe kitanzi taratibu
Halafu huyu wanaume hajatujua vizuri. Eti mkimya, ana msimamo, hataki mazoea na wadada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kaazi kwelikweli, ngoja akipenda atatuletea mrejesho hapa
 
Huu ushauri ni wa hovyo sana. Hapa atamegwa na kuachwa.
 
Mara nyingi ukimtongoza dume uwezekano wa kukubali ni mkubwa sana same applied na uwezekano wa kukuacha(baada ya kula papuchi) ni mkubwa vilevile ....
 
Neybright,
Kindly , give me my potion of black and white because, I know you need me badly.

Thanks.

πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…