Kweli nimepatikana siamini

Kweli nimepatikana siamini

Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..

Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!

Usithubutuu....
Masculinity is on a decline in the west because life is too easy.

When shit hits the fan, the men who are ready will step up to the plate, and the men who were playing their Nintendo Switch and drinking soy lattes will perish.
 
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu

Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta

Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha

Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki

Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Inyoe tuu umpelekee mkuu hamna namna
 
Ndie huyu huyu wa anaekutesa leo mkuu??

Kama ndie basi ulikosea tangu mwanzo.
 
Ndie huyu huyu wa anaekutesa leo mkuu??

Kama ndie basi ulikosea tangu mwanzo.
Jamaa hakumpenda, wanaume mna huruma sana, kamuona anateseka akaona ampe dyudyu....bidada akanogewa.
Jamani wanawake Sisi Kazi yetu ni kutii tu, kupenda ni kiherehere Chetu.
 
Wanaume ukitushobokea umeisha.

Raha ya windo likusumbue, sasa huyu alionesha kabisa yeye ndo kapenda sana.
Pole yake bna.
Kwenye huu uzi anasema sio mpenda wanawake, huko mbele ndo anaijua tabia yake vilivyo. Na huenda alikua anaona kabisa ni mtu wa wanawake ila eidha jf imsapot au labda kumenda kwake kulificha mabaya yake.
 
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu

Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta

Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha

Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki

Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom