carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Vunja ukimya mama maisha yenyewe mafupi haya
Anaweza maliza miezi 6?Hatumii kilevi...hapendi kujichanganya yaan kwanza Sijui social network anaweza maliza hata miez 6 hajaingia hata whatsap na smart anayo....
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mkuu!Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Hayo ni maongezi anakuambia kua anamda flan hajaingia watsap...ni mtu msiri sana na makini na mambo yake so ni ngum kumjua anakupenda au lah! Japo nikimaliza cku cjamtafuta hua analalamika mbona umenitenga Sijui nn yaan Mimi hata simwelew aseeAnaweza maliza miezi 6?
Kama hadi unajua hii routine mpaka sasa hivi ulitakiwa ujue kama anakupenda au hakupendi.
Na muda wote huo hajaonyesha kua ana mtu?
Kama hajakuonyesha na mnafanya kazi airport huyo jamaa namjua ni choko
Hayo ni maongezi anakuambia kua anamda flan hajaingia watsap...ni mtu msiri sana na makini na mambo yake so ni ngum kumjua anakupenda au lah! Japo nikimaliza cku cjamtafuta hua analalamika mbona umenitenga Sijui nn yaan Mimi hata simwelew asee
Sijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona choo
Aisee nimekua Mdogo...action imekua zero aiseeHutendei haki jina lako lady in action
Ha ha haaaaa...Mkate kwa chai??mkaribishe kwako,halafu kaa mikao ya kuonyesha papuchi.aaaah dk 0 kayeyuka uyooo.