Lmntrix
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 570
- 408
Nop.. Fanya hivi ... Tuliza moyo afu mjarib kodogo..uone anaweza akakukubali.Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu
Nop.. Fanya hivi ... Tuliza moyo afu mjarib kodogo..uone anaweza akakukubali.Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu
Ukimya wake ndio mtego anaotumia kukutega ila wewe hujui labdatu nikukumbushe kwamba "hata mwanamke aliyetafutwa kwa dawa huamini kapenda kwa moyo wake" sasa wewe mpe kikojoleo halafu utaona mademu zake wote na ukweli wake utajiweka wazi..Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..
Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!
Usithubutuu....
uuuuwijaribu kufanya uchunguzi kama yuko single kweli sio upeleke mbunyi tu unaweza juta ukija shtuka ana mtoto au ana mtu wake fanya uchunguzi moyo wa mtu ni kiza kineneMwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Hakuna mwanaume rijali kamili ambae haumizwi kichwa na mwanamke. Kama sio wewe basi kuna mwingine anaemuumiza kichwa tena vyote viwili cha juu na chini.Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Mm nilikuwa cjui kama unanipenda jamani siungeniambia kuliko kuja kunishtakia mitandaoni huku kunitusi tu lady in action.Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu

Sasa utasubiria mpaka lini best? Na ukute jamaa hana hata mpango na wala hajafikiria kuwa na mahusiano na wewe sasa si bora ujitose tuu, mimi ningekuwa wewe ningempa black and white why utese nafsi wakati vitu vinawezekana? Mweleze ukweli akikubali poa asipokubali poa tuu kwani kitu gani. Bora ujue ukweli kwamba haiwezekani ufanye mambo mengine kuliko kuendelea kuwaza mtu mzima mwenzio pasipo sababu ya msingi.
Akikudharau basi ila umemwambia ukweli wako...
Halafu huyu wanaume hajatujua vizuri. Eti mkimya, ana msimamo, hataki mazoea na wadadaKakuweza...keshajua umenasa
sasa anakuacha ujivalishe kitanzi taratibu

. Kaazi kwelikweli, ngoja akipenda atatuletea mrejesho hapaWanaume nimuharibie jamaa au nipige kimya tu maana dah!Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Wanaume nimuharibie jamaa au nipige kimya tu maana dah!Katika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Sasa si atapiga na kutambaa. Hapa ataachiwa maumivu tuMkate kwa chai??mkaribishe kwako,halafu kaa mikao ya kuonyesha papuchi.aaaah dk 0 kayeyuka uyooo.
Huu ushauri ni wa hovyo sana. Hapa atamegwa na kuachwa.simple sana hakuna mwanaume asie tegeka kwa mwanamke tumia mbinu za kike mpaka ajikute kala tunda na kuanzia hapo mambo yote yatanyooka ila nawaza ni kweli hana mwanamke kweli na kama hana basi kuna tatizo lipo upande wake mwanaume yeyote aliepevuka hawezi kuishi bila mwanamke.
Unajuaje social network hajaingia miezi 6 ???Hatumii kilevi...hapendi kujichanganya yaan kwanza Sijui social network anaweza maliza hata miez 6 hajaingia hata whatsap na smart anayo....
Neybright,
Kindly , give me my potion of black and white because, I know you need me badly.
Thanks.
🙂🙂😀😀😛😛😛