Bunduki yake mbovuKatika story hua anasema katika vitu ambavyo havimuumizi kuchwa ni wanawake yaan anadai hana muda kabisa
Uko vizuri TiticombFanya hivi, mualike kwako kama unajitegemea, muandalie chakula na vinywaji vizuri vya asili kama juice fresh. Kuwa huru mfano unakaa nae kwenye kochi moja, ukiwa unacheka mmefurahi unamuegemea kama kawaida. Usilazimishe kwenda kwake inaweza kuwa ana mwanamke wake ndio maana alikuwa haangaiki ni nyie hapo kazini. With time atakuelewa tu au atajikuta kakupenda. Na inawezekana huo unaoita ni msimamo sio udhaniavyo inaweza kuwa domo zege tu. Kwa kutumia njia ya kujiweka karibu sana na huru itampunguzia woga wa kukutongoza. Ukishindwa yote jilipue mwambie sasa umekuwa mpweke sababu upo single kwa muda mrefu akupe ushauri, hapo atakuelewa tu. Akikuuliza au kukushauri utafute mtu ndipo umjibu hauwezi tafuta sababu ni mwanamke inabidi utafutwe wewe. Uzuri wa njia hii ya kuomba ushauri ni kwamba akionesha kukukwepa au kukujibu kwamba yeye hayupo tayari au ana mtu basi na wewe unageuka unatabasamu una mwambia alikuelewa vibaya hauku mlenga yeye.
Hahaaa. Mkuu mimi nilijikuta namtokea msichana kwa sababu ya hizi mbinu zake za medani japo yeye tulikuwa tunaheshimiana sana kiasi cha kuniita kaka flani, alikuwa hawezi kukaa na mimi kochi moja na kuniegemea bali alikuwa ananialika kwao kwa lunch(alikuwa anaishi na dada yake). Alikuwa anakuja gheto kwangu. Mimi nikasoma ishara ndio ikatokea vile tena.... malizia stori mwenyewe. Mimi sikuwa domo zege lakini nilikuwa na demu mwingine ambae alikuwa hatupo vizuri kimahusiano na sikutaka demu maeneo jirani na ninapoishi ndio nikaamua kuwa serious sana hadi majirani wa kike wananiogopa.Uko vizuri Titicomb
MhHatumii kilevi...hapendi kujichanganya yaan kwanza Sijui social network anaweza maliza hata miez 6 hajaingia hata whatsap na smart anayo....



...mbona tabia zinafananaImebidi tu nichekeHivi kumbe bado kuna watu wanateswaaga na mahaba mpaka kipindi hii ya makinikia????
Hata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tuUnajitesaaa...