Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Aiseeh umeniangusha sana kama umeshindwa kujitosa kwa huyo jamaa naomba na Hilo jina lako ulibadilishe badala ya "lady in action" bora uitwe "lady in nothing" hapo tutaenda sambamba jina litasadifu matukioHata mie nimeona . ..acha nipige chini tu...moyo inabidi uelewe tu

