Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,760
- 209,198
Kimeshamkuta kitu šUsithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..
Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!
Usithubutuu....