Kweli nimepatikana siamini

Kweli nimepatikana siamini

We km mzuri mfate kuwa flexible, romantic fanya aingie lain, mshawishi cc wanaume hakuna mkate mgumu mbele ya chai, xaxa kazi kwako
 
We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
Nimekudanganya wapi? mi nilikwambia umpigie? ITS OK inawezekana huna viwango vyake kabisa ndo maana anakuchukulia poa kihivyo, subiri tu utapata wa viwango vyako. Kama umemshindwa huyo kutokana na maelezo yako jinsi alivyo, wewe subiri kupatwa tu maana hutapata utakayemtaka wewe, kuwa teyari kuchukuliwa na yeyote hata kama hujampenda kiviile, mradi tu yeye akupende, maana uzee nao ndo huooooo waja.
 
wanawake mbona mna vishawishi vingi tuuuu.... ila mchunguze anaweza kuwa ana kamzigo kake anakamega taratiiibu.....huku wewe unazuzuka......fungua akukule akumwage....kuwa makini wanaume iko janja sana ....hahahaa
 
Sio kweli kama umempenda, hujajua tuu kinachokutesa ni kuwa umeshafika umri wa kuolewa na hajatokea mtu mwenye vigezo vyako so unaamua moyo wako uanze kutafuta wenyewe,
 
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu

Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta

Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha

Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki

Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Kwani jamaa ni alshababu?
 
Acha moyo wako usukume damu,ndiyo kazi yake na si vinginevyo.
 
Sijui atanionaje aisee...anaweza kunidharau mpaka nikajiona choo
Fanya hivi, mualike kwako kama unajitegemea, muandalie chakula na vinywaji vizuri vya asili kama juice fresh. Kuwa huru mfano unakaa nae kwenye kochi moja, ukiwa unacheka mmefurahi unamuegemea kama kawaida. Usilazimishe kwenda kwake inaweza kuwa ana mwanamke wake ndio maana alikuwa haangaiki ni nyie hapo kazini. With time atakuelewa tu au atajikuta kakupenda. Na inawezekana huo unaoita ni msimamo sio udhaniavyo inaweza kuwa domo zege tu. Kwa kutumia njia ya kujiweka karibu sana na huru itampunguzia woga wa kukutongoza. Ukishindwa yote jilipue mwambie sasa umekuwa mpweke sababu upo single kwa muda mrefu akupe ushauri, hapo atakuelewa tu. Akikuuliza au kukushauri utafute mtu ndipo umjibu hauwezi tafuta sababu ni mwanamke inabidi utafutwe wewe. Uzuri wa njia hii ya kuomba ushauri ni kwamba akionesha kukukwepa au kukujibu kwamba yeye hayupo tayari au ana mtu basi na wewe unageuka unatabasamu una mwambia alikuelewa vibaya hauku mlenga yeye.
 
We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
Hiyo ni akili yako inakutuma hivyo Kwa kuwa umempenda sana. Angekuwa hataki na simu yako asingeipokea.
 
Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..

Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!

Usithubutuu....

Si kweli,..izo ni hisia tu,
 
Nimekudanganya wapi? mi nilikwambia umpigie? ITS OK inawezekana huna viwango vyake kabisa ndo maana anakuchukulia poa kihivyo, subiri tu utapata wa viwango vyako. Kama umemshindwa huyo kutokana na maelezo yako jinsi alivyo, wewe subiri kupatwa tu maana hutapata utakayemtaka wewe, kuwa teyari kuchukuliwa na yeyote hata kama hujampenda kiviile, mradi tu yeye akupende, maana uzee nao ndo huooooo waja.
Lakini mkuu kuna viwango " standard" kwa wanaume wote tunavipenda kama anavyo sidhani kama jamaa atachomoa hata Ku "hit" once
 
Ukimuomba ushauri juu ya upweke wako akakushauri utafute mtu unaweza pia kumwambia kila unayempenda unahisi ana mtu wake mfano yeye(huyo jamaa yako). Unamwambia unampenda sana lakini unaogopa kumletea mgogoro na mpendwa wake bora mbaki marafiki tu. Hapo kama yupo free hawezi kuruka nyavu yako. Ila usimzingue jamaa baada ya kufanikiwa kuwa nae maana umemfuata mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom