We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!Sikia bi dada, huyo jamaa hamna haja wala ya kumwambie, fanya kitu moja sisi wanaume tunapenda, onyesha kumjali, onyesha kumpenda kutoka moyoni. Automatic mtajakuwa wapenzi bila hata mmoja kumwambia mwenzie.
Hayo ni maneno tu, huyo ni mla papuchi mzuri kabisa, take it from me...Hayo ni maongezi anakuambia kua anamda flan hajaingia watsap...ni mtu msiri sana na makini na mambo yake so ni ngum kumjua anakupenda au lah! Japo nikimaliza cku cjamtafuta hua analalamika mbona umenitenga Sijui nn yaan Mimi hata simwelew asee
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa

Au nawewe huna muonekano mzuri?? Huna shepu mapaja mazuri na chura labda.We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
Umenichekesha sana aiseeLe profeseri mama wa mboga za milioni 10 anasema jinsi unavozid kupanua ndivyo watu wanavyozid kutaman au siyo? na wewe the more you get closer and thinking much about him huwez kuachwa salama na hayo mahaba mazito....................
Iwish unione utafuta huo usemii...Sijui tu jamaa acha nimuache tu sitak hata ukaribu naeAu nawewe huna muonekano mzuri?? Huna shepu mapaja mazuri na chura labda.
Ha ha ha haKumbe kuna wadada madomo zege![]()
Ndicho nachokwambia mwanamke mwenzangu hapo tu umepiga simu umenyaliwa sasa ongezeahapo hapo na kumtongozaWe ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
...yaani ni utaonekana ambiance full..Mpe makavu tuMwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Mpende anayekupenda, utaliwa bure kumbe mwenzio ana mshelisheli wake umetulia kivulini..!Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.