KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,320
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
sasa mwanamke atakuwaje mwenzio na wewe ni mwanaume!!!
kajituma kwa nafasi yake kapambana kapata gari lake, wewe umebaki kulalama tu, hakukosea kuachana na wewe kwa mtindo huu!!! mmmh!!!
mbona kama wamuonea wivu!!! vipi na wewe unataka gari?
bora tu tuolewe wote tujue moja, wanaume wenyewe ndio hawa kutwaa kulalamika kwenye mitandao!
Mbona watu mmetafasiri maelezo yangu vibaya jamani mara wivu mara namkosi mara hata sisi tunataka tutoe airtel hahahahahaha hapana jaman nimeshangaa sana kwakua mimi nayafahamu maisha yao fika na hari yao kwa ujumla na mimeoneshwa hiyo gari na rafiki yake wa kike akanipa data zote kua kapata mzee mmoja anaweza kua kama babu yangu amemununulia gari ila yule mzee wanamhisi ni postive..ndio nikawa nashangaa kua ndani ya miezi mi tano kashamiliki gari jaman its wonderfull sikupenda kufatiria juu ya huyo mzes coz it is non of my biznesa ila nimeshangaa kumiliki gari ndan ya mda mchache hivyooo wakati kwaoo maisha sawa na ya kwetu au bora hata kwetuu basiii msinielewe vibaya jaman
Tena ashukuru aliachana na wewe unaonekana ulikuwa unamtia gundu tu.
Wivu huna ila roho inakuuma!!
mmmmh shemd bana acha ukali
ngoja nikupe kwa haya mambo.
.Hivi umewa kujiuliza kwann ktk mitume 12 wa yesu hakukuwa na mwanamke?
. Unajua kwann hakuna shekhe mwanamke? Au imam wa kike?.
Umewahi kujiuliza kwann mashetan huwapata wanawake tu?
. Hapo kuna siri nzito sana.
Karibu
Aje uku Mombasa atapata na yeye gari yake Benz mpya kabisa wafadhili tupo kibao!.
Nakupa hongera kwa kuachana nae make uckute virus kwa sabbu ya tamaa zake za kifara.
Ahahaaa kapata mwenye nyota. Tatizo nyootaaaa
tena ashukuru aliachana na wewe unaonekana ulikuwa unamtia gundu tu.
na imenenwa usitembelee nyota mwenzio
i miss u,,