Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Mwanaume je haitaji kuoa?
 
Ngoja nikusaidie kuzoom
Haaaaaa hapo nmekupata ..unaambiwa sio unakuka sahan mmoja ya chips then unasema nmeshiba hahahahaa.


Mzigua90 kidume kinakulia msosi huyu alafu kinakuambia *Baby Leo chamoto utakiona* ...utabakia au utaamsha ??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amini usiamini tunategemeana sana sana zaidi ya timu za mpira. Huwezi kuishi pekee ukasema uko happy na maisha yako. Not true.
Amelaaniwa MTU yule amtegemeaye mwanadamu. Nina ujuha na ukengeufu kumtegemea mume ama mke kukupa furaha ktk maisha. Vipi usipoipata? Vipi ukaipata kwa mufa kisha akakugeuka?

Furaha inaletwa na yule aliye juu tuuu.

Lengo la ndoa ni mgegedo tu, na kwakuwa siku hizi kugegedana ni nje nje unataka ndoa ya nini?
 
Huyu Hapa Wakwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…