Kabeeesa
Kupitia haya matukio ya kufanana mizinga isio na kichwa wala miguu nimehitimisha kua ni kweli lisemwalo kua wapo wanawake wanaokua na gundu na nuksi wapo!Habari wakuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kwakweli wale waliowahi kusema kuna wanawake ukilala nao basi unapata mkosi mimi yamenikuta!
Kuna manzi moja nimeshaipiga mara tatu na katika mara zote tatu kila nikishatoka kumzagamua basi lazima nipate ajali ya pikipiki ninayomiliki!
Basi mara ya kwanza nimekula kipochi wakati narudi zangu home nikagonga jiwe wakati nabadili gia nikateguka kifundo cha mguu.
Mara ya pili nikaanguka na kuumia goti hadi nikashonwa nyuzi 3!
Leo tena nimeipiga hadi asubuhi jioni hii nimegonga mbwa na nimeumia tena goti.
Kupitia haya matukio ya kufanana mizinga isio na kichwa wala miguu nimehitimisha kua ni kweli lisemwalo kua wapo wanawake wanaokua na gundu na nuksi wapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo karibu yako mpaka Ikuuwe
Kazi kwelikweli/Job TrueTrue
Hujafa hujaumbika...Muoe kabisa ili umalizike na miguu yenyewe kabisa uwe kiwete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwamba tukiachana tu wanamwibia hela[emoji23][emoji1787][emoji1787] .....hivi hapa full kudeka....akiniacha tu anacho[emoji23][emoji1787][emoji3062][emoji855]
🤣🤣😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mswahili ni nani?Na vice versa is true..ni imani tu za kiswahili.
Ok brotherStay safe bro
Mkuu kufa tena?Tupo karibu yako mpaka Ikuuwe
Kazi kwelikweli/Job TrueTrue
Kiwete tena? [emoji1787][emoji1787]Muoe kabisa ili umalizike na miguu yenyewe kabisa uwe kiwete.
Duuuh iyo noma sana ko mchizi hakai na salio kabisaKuna mwamba tukiachana tu wanamwibia hela[emoji23][emoji1787][emoji1787] .....hivi hapa full kudeka....akiniacha tu anacho[emoji23][emoji1787][emoji3062][emoji855]
Shukran sana mkuuPole sana mkuu
Sina imani za kiswahiliNa vice versa is true..ni imani tu za kiswahili.
Tunajua kitambo sana hili.Hii ipobpande zote.
1. Kama kuna mademu wana mikosi ukilala nao pia wapo wenye baraka ukilala nao.
2. Kama kuna mademu wenye mikosi ukilala nao, pia wapo wanaume wenye mikosi ukilala nao.
3. Kama kuna wanaume wenye mikosi ukilala nao, basi wapo pia wenye baraka ukilala nao.
No double standard
Ukisema "uzinzi" una maana gani?Uzinzi ni kitu kibaya Sana una beba nuksi, mikosi na hata Roho chafu.
[emoji117]Upotevu wa muda, pesa na hata nguvu .