kuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?kibaya zaidi walivyokuja kutengeneza mfumo wa malipo kwa njia ya kielektroniki,kwamba hauna pesa,haupigi simu au kuwasiliana,...sisi weusi tulikosea wapi?mwenye chochote achangie hili tuzidi kueleweshana....maana hapa pia tunawasiliana kwa nguvu ya umeme na pesa....nachanganyikiwa kiukweli uwezo wa hawa jamaa.
Kabla ya kupost mada au wazo ambalo wewe unadhani ni jipya au kitu kigeni ebu fanya utafiti kwanza. Kwa jinsi nilivyokuelewa unadhani hakuna ugudunzi umefanywa na Waafrika??????? Fanyia kazi eneo hili na utashangaa mambo waliyoweza kugundua ambayo dunia inaendelea kuyatumia. Acha akili ya kujidharaukuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?kibaya zaidi walivyokuja kutengeneza mfumo wa malipo kwa njia ya kielektroniki,kwamba hauna pesa,haupigi simu au kuwasiliana,...sisi weusi tulikosea wapi?mwenye chochote achangie hili tuzidi kueleweshana....maana hapa pia tunawasiliana kwa nguvu ya umeme na pesa....nachanganyikiwa kiukweli uwezo wa hawa jamaa.
Mzungu -Z = ??? Nisaidie mimi sifahamu kutoa herufi nilifundishwa kutoka namba tuu.Neno mzungu ukitoa Z inabakia mungu
Ni kweli hii ni Afrika, wala usimlaumu msure kwake yeye alitimiza wajibu wake. Ingekuwa ulaya msure angekupeleka kwenye kituo cha TV na kuna kampuni au mtu angeweza kujitolea kwa elimu yako ili kilichoko kwenye damu yako kiendelezwe.Zamani kidogo, nilijaribu kutengeneza satellite receiver yangu binafsi pale home. kwakuwa nilivutiwa sana na maswala ya ubunifu electronics, kilichonikuta bwana, nilipata mikwaju ya kufa mtu, matusi na mavitu yangu yote yalichomwa moto, but now nimekuwa juu hadi wazee wakikumbuka wanaona aibu. This Is Africa.
mkuu una makengeza ama ujuaji umekuzidi?what?Kwanza tuanzie kwenye signature yako ambayo ni "repitition is the father of learning". Hivi spelling za hilo neno la kwanza ziko sawa? Kama sio sawa basi umekosa kitu kinaitwa 'being critical for everything' au 'critical thinking' ambacho hao jamaa ndio kinawasaidia sana ingawaje sio wote.
mkuu una makengeza ama ujuaji umekuzidi?what?