kweli mwanamke akiamua kutokukupa, anambinu

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,210
Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata weza kufanya mpaka ndoa. Nami niliamini japo umri wake ni above 20 kwa hasa sababu alizo kuwa akinipatia.
Leo katika pitapita zangu la haula lakwata anatoka nyumba ya wageni na kijana moja. Yeye ajaniona, hapa nilipo nimechoka balaa.
 

BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,939
1,812
Usiwe na wasiwasi hata huyo kijana huenda na yeye ameambiwa neno hilo hilo hivyo hakupata "tundi" ingawa umeshuhudia katika mazingira hayo.Hebu muulize mida hiyo alikuwa wapi, usikie michapo yake.
 

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,116
7,214
inawezekana alikuwa mgeni maeneo hayo ndo maana ukamuona anatokea nyumba ya wageni.ila kuwa makini.Hebu inama ufikiri ,mali yako inaliwa!
 

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,210
Usiwe na wasiwasi hata huyo kijana huenda na yeye ameambiwa neno hilo hilo hivyo hakupata "tundi" ingawa umeshuhudia katika mazingira hayo.Hebu muulize mida hiyo alikuwa wapi, usikie michapo yake.
Nikimuuliza anaweza kuruka na kupaa moja kwa moja. Ngoja niende nae hivyo hivyo tu kibwege ***** huku nikiweka timing kali. By the way kanilia vyangu, so she must pay back.
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,380
66,364
Kwa hiyo mwanaume na mwanamke wakitoka nyumba ya wageni basi ni kwamba walikuwa wanadinyana?
Unajua nini, muda ule usingechoka...ungebonyea mahali halafu umpigie simu na kumuuliza mahali yupo, jibu lake lingekupa nafasi ya kumueleza mahali ulipomuona.
Otherwise endelea tu kushika pembe, maana si ushatoa ahadi ya kuoa bwana...in other words "welcome to the Zombieland".
 

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,210
Umempa pepo kabla haja dead...big mistake. Muulize mzabzab
Daa!! Ile kwa huyu sholi labda uwe na mahesabu makali sana. Even kuonana na kutalk au kuweka appointment mbali na kwao issue.
 
Last edited by a moderator:

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,254
91,929
Msichana akisema 'usubiri kula tunda'
na wewe subiri 'kuliwa mali zako'....
haraka ya nini?
 

MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,799
1,988
Alikuwa katika hali gani? Huenda ni muwekezaji, anataka kuwekeza katika hiyo guest. Kwa hiyo alikuwa anakagua kama vyuma vipo ok, vitanda vyake vipo imara isije wateja wakakimbia kuwa vinapiga kelele kwenye mechi.
 

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Hapo baba umeliwa badala ya kula,so jipange nawe upate japo kidogo,au kama vipi nenda kamuulize mshkaji kala?kama kala muulize katumia mbinu gani?
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,937
9,716
Siku hizi mambo ya kuwekeana tunda eti hadi siku ya ndoa MHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH!!!! Kama ni kweli tuambie wanawake mnao date tu just for the sake hata akiwa 20 or 16 or 18 wengine ni open holes tu!! Tena kuanzia kule kwa 0713 hadi kule mungu alikoruhusu!! Tubishe hapa!!!
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata weza kufanya mpaka ndoa. Nami niliamini japo umri wake ni above 20 kwa hasa sababu alizo kuwa akinipatia.
Leo katika pitapita zangu la haula lakwata anatoka nyumba ya wageni na kijana moja. Yeye ajaniona, hapa nilipo nimechoka balaa.

hahahahahahahah@kwamtoro umenchekesha sana kaka,hahahahhaahaah,
keshaliwa huyo,ungemwita hapohapo baba,,,,au uwe umempiga picha
 

Bejajunior

Senior Member
Sep 19, 2011
192
49
Hapo unajilazimisha kujidanganya kaka hata ukuvunga vphulambi kitu hapochapa lapa mapemaaaaa
 

Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
5,897
Hahaa, mkuu kuna katabia nakasikia siku hizi, Mwanaume anajidai kuwa hataki kufanya ngono kabla ya ndoa so anakua na msichana mwingne wa kumhudumia kwa habari hio, Vivyo hivyo kwa wada wanasema wana Bikira na eti hataki mkutane kimwil hadi ndoa. anahofia ukikutana nae tu utamchoka na kumuacha, so anakuwa na kijamaa chake pembeni cha kumtatulia mahitaji yake, ila akija kwako anaweka ngumu ili kukuonesha ana msimamo. kwa hiyo kwako wewe yawezekana ni hii trick ya mujini.

Kuhusu kumwambia, ni bora ujitafakari tu mwenyewe na kuchukua maamuzi, kwa kuwa huna ndoa, jiokoe kaka. ukimwambia atagoma tu, chezeya wewe

''Laiti watu wangejua ukweli ulivyo na nguvu, Binafsi nathamini sana anayeniambia ukweli maana ameniamini kiasi cha kujidhalilisha kwangu, kuliko huyo mwema ambaye ataniaminisha uwongo kwa juhudi, halafu mzee mzima siku ya ndoa unakuta hamna kitu, aheri asingezaliwa mtu huyu maana maumivu yake yashinda msiba''

Ukimwambia mtu ukweli wako akakukimbia, huyo sio wako endelea kusubiri atakuja wako, mbona wengine wanaoa wadada ambao wamezaa kabisa???, sembuse mwanaume umwambie huna bikira? Tuwe wakweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Top Bottom