kweli mwanamke akiamua kutokukupa, anambinu

kweli mwanamke akiamua kutokukupa, anambinu

Pole sana kak kwamtoro!! M ningezimia kabisaaa,, sasa bikira ishavunjwa sijui ww utamvunja nn kilichobaki daaah.
 
Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata weza kufanya mpaka ndoa. Nami niliamini japo umri wake ni above 20 kwa hasa sababu alizo kuwa akinipatia.
Leo katika pitapita zangu la haula lakwata anatoka nyumba ya wageni na kijana moja. Yeye ajaniona, hapa nilipo nimechoka balaa.


Subiri kubambikiwa mtoto sasa.
 
kama unataka kumuoa peleka posa kwao, ataacha kwenda gesti, kisha utamuoa ili ufaidike na mapenzi yake.
 
Kwa mbali naona ndoa kuota mbawa, umekata tamaa! usichoke tafuta uthibitisho utaupata ndipo ufanye maamuzi
 
Kaka,usijali pesa uliyopoteza.Epusha msongamano!
 
Hivi inakuaje mpaka mwanamke akuambie hupati tunda mpaka ndoa!!
mbona wengine wanafunga ndoa tena wana vitumbo na ndoa zao zinadumu kuliko alie
kutwa bikra?
Wanaume tuache ubozi boziana kama hataki timu izoee kiwanja basi ni kupiga chini, kuliko kudanganywa ni bikra
na ndoa ndo imeisha fungwa kanisani, unakuta uwanja umeisha vurugwa mpaka hauchezeki!!
Ni vyema kujua kuwa hiki kiwanja mpaka zamalek wameisha kipiga ndani yake, lakini mi nimependa jinsi kilivyo ndani na nje
hapo ni poa.
haha haaa aha aha ahaaaa hili jukwaa lina mambo..
 
Kuingia gesti sio lazima kuliwa tunda. Inawezekana walikua na maongezi tu na wakakosa mahali private so wakaamua kwenda kuzungumzia huko gesti. Mi mwenyewe nishaingia gesti mara nyingi tu na mwisho wa siku tunda nilimkabidhi wangu wa moyoni siku ya ndoa. Akalimeng'enyua kwa mara ya kwanza. BRANDI NEW.. LOL
 
Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata weza kufanya mpaka ndoa. Nami niliamini japo umri wake ni above 20 kwa hasa sababu alizo kuwa akinipatia.
Leo katika pitapita zangu la haula lakwata anatoka nyumba ya wageni na kijana moja. Yeye ajaniona, hapa nilipo nimechoka balaa.

-Ndo ukome kuvamia midem isiyokua na mstakabali kwani kala sh ngp? Kama vipi msakizie na kesi ya wizi ulipize kisasi basi atashika adabu
 
kesha liwa huyo,hivi unafikiri kama umemwambia utamuoa atakupa mbunye kweli,akikupa utakuta ina kasoro hutamuoa tena,kwa hiyo ni bora amalize shida zake kwa mshikaji na ww ukishaingia king ndo utakula mzigo,lakini nakuhakikishia hawataachana hata kama utamuoa na imekula kwako wewe ambae hujui kudeal na hawa viumbe!!!
 
Nikimuuliza anaweza kuruka na kupaa moja kwa moja. Ngoja niende nae hivyo hivyo tu kibwege ***** huku nikiweka timing kali. By the way kanilia vyangu, so she must pay back.
Kakulia au umempa!
Nawe umlipe muda wake unaomuita ita kumpa hivo vyako
The thing is kapenda hivo vitu na hajakupenda wewe......
 
Mungu anatenda miujiza mwana...Ameona jinsi ulivyogeuzwa msukule so mshukuru sana maana umekutana na muujiza wako leo..!
Tunza pesa zako sasa na kumbuka real man hawahongi bila kuweka uhakika mezani...!!
Nakukubali
 
Kuingia gesti sio lazima
kuliwa tunda. Inawezekana walikua na maongezi tu na wakakosa mahali
private so wakaamua kwenda kuzungumzia huko gesti. Mi mwenyewe
nishaingia gesti mara nyingi tu na mwisho wa siku tunda nilimkabidhi
wangu wa moyoni siku ya ndoa. Akalimeng'enyua kwa mara ya kwanza. BRANDI
NEW.. LOL
We acha kumpoteza kijana wa watu! ww ni ww
 
Alikuwa katika hali gani? Huenda ni muwekezaji, anataka kuwekeza katika hiyo guest. Kwa hiyo alikuwa anakagua kama vyuma vipo ok, vitanda vyake vipo imara isije wateja wakakimbia kuwa vinapiga kelele kwenye mechi.

mweeeee mbavu zangu
 
Kuingia gesti sio lazima kuliwa tunda. Inawezekana walikua na maongezi tu na wakakosa mahali private so wakaamua kwenda kuzungumzia huko gesti. Mi mwenyewe nishaingia gesti mara nyingi tu na mwisho wa siku tunda nilimkabidhi wangu wa moyoni siku ya ndoa. Akalimeng'enyua kwa mara ya kwanza. BRANDI NEW.. LOL

atii nn ? dah mkiingia guest lazima kugegedana hapo ,sarakasi nn mbwembwe zote ,
 
Duuu...pole. ndo kusema wewe huna swaga au ndo domo zege umeshindwa kumuimbisha.

Kuna uwezekano mkubwa ushawahiwa. U better quite.
 
Duuu!bikira alafu nyumba ya wageni!!!! 😱😱😱Ila fuatilia kwamakini ndo uchukue maamuzi! Usikurupuke mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom