kweli mwanamke akiamua kutokukupa, anambinu

Duuu...pole. ndo kusema wewe huna swaga au ndo domo zege umeshindwa kumuimbisha.

Kuna uwezekano mkubwa ushawahiwa. U better quite.

We ushazoea kuimbiwa ndo maana unataka kila mtu aibiwe sio!
 
Kuingia gesti sio lazima kuliwa tunda. Inawezekana walikua na maongezi tu na wakakosa mahali private so wakaamua kwenda kuzungumzia huko gesti. Mi mwenyewe nishaingia gesti mara nyingi tu na mwisho wa siku tunda nilimkabidhi wangu wa moyoni siku ya ndoa. Akalimeng'enyua kwa mara ya kwanza. BRANDI NEW.. LOL
Ila haja lufuma ukitokea huko kwa wenyeji maana saivi sio kwa wageni tena!
 
We mgeni na madem eh? Yaani wewe huyo anakuhitaji kama mume tu akamilishe ratiba ya maisha. Feelings na wewe hana kabisa na hata ukishamuoa hali haitabadilika. Yaani atakuwa analala na wewe basi tu afanyeje! Achana nae ila ufanye kitu ili ajue hiyo tabia ya kula vya watu si nzuri.
 
Pole sana kak kwamtoro!! M ningezimia kabisaaa,, sasa bikira ishavunjwa sijui ww utamvunja nn kilichobaki daaah.

Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata weza kufanya mpaka ndoa. Nami niliamini japo umri wake ni above 20 kwa hasa sababu alizo kuwa akinipatia.
Leo katika pitapita zangu la haula lakwata anatoka nyumba ya wageni na kijana moja. Yeye ajaniona, hapa nilipo nimechoka balaa.
mkuu kuliwa vyako mbona siyo ishu sana ,hayo ni material tu yanatafutwa.....vipi akiamua kukurudishia gharama utajisikia poa?
tatizo ninaloona hapo ni yale maumivu ya kujihisi km umedhalilishwa utu wako hapo ,huyo mlie timing mkuu mdogo mdogo siku akiingia anga zako unapiga hata kwa kimeno ilimradi upunguzi machungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom