kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Nikimuuliza anaweza kuruka na kupaa moja kwa moja. Ngoja niende nae hivyo hivyo tu kibwege ***** huku nikiweka timing kali. By the way kanilia vyangu, so she must pay back.
mzee angalia asije kula vyote ukabaki maskini huku yeye anatelea nyumba zote za dar maana kila mahali yeye ni mgeni