Kweli Mungu hana upendeleo?

Indeed 🎯
 
Noma πŸ”₯😁
 
Kazi kweli kweli mwalimu wangu wa madrassa ,alikua ananichukia nikimuhoji kama kuna ulazima tukariri Qur'an kwa kiarabu badala ya kiswahili na kuniita mjuaji
Unajua sasa faidi za kuhifadhi maandiko kwenye lugha ya asili kuliko lugha nyingine?
 
Kazi kweli kweli mwalimu wangu wa madrassa ,alikua ananichukia nikimuhoji kama kuna ulazima tukariri Qur'an kwa kiarabu badala ya kiswahili na kuniita mjuaji
Mimi nimekulia katika dini Tena ile kindaki ndaki but baada ya kuwa mtu mzima Kila nikifanya reason naona kabisa huyu mungu ni uongo ( Utapeli )
 
Hakuna faida yoyote kilicho kuwa kinalengwa na Waarabu ni kuwa na influence ya utamaduni wao Kwa watu wa mataifa mengine Kwa wepesi Kwa kutumia mgongo wa Imani , that's why kwaajili ya kuwa influence watu waweze kujifunza kiarabu Waka waambia watu kiarabu ni lugha ya peponi 😁
Nipe faida yake
 
Mimi nimekulia katika dini Tena ile kindaki ndaki but baada ya kuwa mtu mzima Kila nikifanya reason naona kabisa huyu mungu ni uongo ( Utapeli )
Yaani ni hatari sana
 
Yaani ni hatari sana
Yaani ni hatari sana
Kiarabu lugha ya peponi , Tender tunda la peponi mzaituni tunda la peponi Ngamia mnyama wa peponi, Automatically ukishaambiwa hivyo if Hauna Akili timamu lazima Uwe brainwashed taratibu utaanza kulidharau fenesi na kuyatukuza mazao ya Waarabu,

Automatically Unaanza kuacha culture Yako na kuanza kupenda Kila kitu Cha mwarabu, na kuwaona wao kuwa wamebarikiwa zaidi kuliko race Yako + Taifa lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…