Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 121
- 687
Aisee nimeamini kweli hapa mjini msingi kiuno na ukijua kuchezesha tu kiuno chako utapata pesa za fasta sana maana jana kiukweli nilikichezesha sana kiuno changu tokea asubuhi mpaka alfajiri mimi ni mwendo wa kuchezesha kiuno changu tu aisee wakuu kiukweli Jana kupitia kuchezesha kiuno changu nimepata hela ya kodi,hela mafuta ya kuendea kazini,hela ya marejesho ya vikoba,hela ya king'amuzi na chenji ikabakia aisee
Halafu ndiyo atokee mtu mtu anishauri kufugwa na mwanaume thubutu? Kwa huku tu kuchezesha kiuno napata pesa zaidi ya mshahara wangu na kupitia hapa bila shaka yataenda mswano sana njoo au jiunge na mimi kuchezesha kiuno!! Karibu wadau na nyie niwachezeshee kiuno lakini pesa iwe mfuko wa shatii.
Welcome folks.