Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Huyo kaka angekuwa njema kimaisha asingepanda mwendokasi..hlf hivi siku hizi kuna wadada bado wanapenda? Mm najua wadada siku hizi mnachotupendea ni pesa tu.. agata edward
we ndio mshamba kweli kwa hiyo kupanda public transport ndio mtu amechoka au kuwa njema mnamfananisha mtu na Mo
 
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
huwezijua udhaifu wa hyo jamaa labda anapumuliwa na wanaume wenzake
 
Hata kama nimemkosea mpenzi wangu ndiyo nianze kumbembeleza mbele za watu,tena kwenye daladala,kweli jamaa ni wa mkoa na kanasa kwa mdada wa Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom