Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Jf imekuwa ya hovyo kabsa kwa sababu ya nyuzi ushuzi kama hizi!! ko hii nayo n mada ya kuleta huku?? swaken kabsa
 
Hahahaha Agatha bhana!! Mi nilikutana na wa namna hio nikienda Mbezi...kiukweli alinitia kichefu chefu...aibu nilihisi Mimi kwa jinsi alivokuwa anaongea...watu wote kimya ye ndo anaongea.
Na mbaya zaidi awe anaonge Kisukuma
 
Sijakugongea Like wala nini. Ugomvi wetu utaishia mahakamani

Hahahahahahaaa babuuu, umenikumbusha wakati nafanya kazi kwenye kampuni ya mawasiliano, wajibu wangu ilikiwa kutoa ripoti ya siku nzima ya jana ili leo kazi iendelee aka nilikuwa naamsha mitambo ya kazi. Basi bwana kipindi hicho nilikuwa na bwana mmoja hivi alikuwa ananikamatia morning glory hadi nachelewa kuanzisha siku kazini. Sasa nikifika tuu japo kwa kuchelewa nilikuwa fasta dakika 20 tuu mitambo imeamka saa mbili kamili kazi zinaanza bila mushkeli.

Kuna jamaa mmoja alikuwa ananipenda pale ofcn ila kunijambia hawezi basi akawa nilichelewa anajisemesha kwa bosi leo bado kidogo tuchelewe kuanza siku, hadi saa moja na nusu mitambo haijawashwa. Nikawa nammind siku hiyo nikampandishia wewe sio bosi wangu wala nini anza mbele, basi tukasemeshana halafu tukanuniana kama mwezi mzima hatusemeshani hahahahahahhahahaa

Guess what, ndo aliyenimwagia mdomoni kwa mara ya kwanza...... mwenyewe ananiitaga mbinjuo. Nilishukuru kupata kazi sehemu nyingine maana ilibaki robo jamaa atangaze nia kuniweka mchepuko njia kuu aahahahahaa.

Ila babu kuninyima like sawa na kuninyima busu la bakulutu vibaya hivyoo....

Sasa Babuuu, si unajua wagombanao.......

Halafu, fanya tugombane tena weekend ijayo basi, ntakuwa kigamboni....

K' Chopin.
 
Haya maanaune ya usukumani ( sorry mikoani) mashamba sana. Yanadhani uanaume ni kutafuna miwa hadharani na kutembea kwenye lami bila kuvaa viatu. Najua ntashambuliwa wakati hata mimi ni wa mkoani ila nimekulia Dar kwa hisani ya wazazi..
😀😀😀
 
Hahahaha Agatha bhana!! Mi nilikutana na wa namna hio nikienda Mbezi...kiukweli alinitia kichefu chefu...aibu nilihisi Mimi kwa jinsi alivokuwa anaongea...watu wote kimya ye ndo anaongea.
Kuna wanaume wanajua kulalamika jamani..😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom