Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
Atakuwa anajifunza kupenda, umlilie mwanamke amekuwa mama yako
 
Hahahaha Agatha bhana!! Mi nilikutana na wa namna hio nikienda Mbezi...kiukweli alinitia kichefu chefu...aibu nilihisi Mimi kwa jinsi alivokuwa anaongea...watu wote kimya ye ndo anaongea.
 
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
Haya maanaune ya usukumani ( sorry mikoani) mashamba sana. Yanadhani uanaume ni kutafuna miwa hadharani na kutembea kwenye lami bila kuvaa viatu. Najua ntashambuliwa wakati hata mimi ni wa mkoani ila nimekulia Dar kwa hisani ya wazazi..
 
Hahahahahahaaa malabuku zakooo (source Babu Asprin) nimejikuta nacheka kwanguvu.

Ila nyie wanaume, kuna niliowasikia wakisema kitu kama hiyo inakuwaga tamuuuuuu halafu yamotoo hehehehee sijui kwelii au wanapamba tuu.
Sijakugongea Like wala nini. Ugomvi wetu utaishia mahakamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom