king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,038
Kimara _jangwani?Yap ipo mkoa wa iringa, wilayan kilolo,
Kimara _jangwani?Yap ipo mkoa wa iringa, wilayan kilolo,
watu wenye hulka hizo huwaga wana nishangaza sanaHuyo Kaka atakua limbukeni! Maswala kama hayo utayaongeleaje Public
hahaa sure yaani mwendo kasi jinsi inavyojaza vile " unaanza kutoa wapi uajasiri wakuongea mambo nyeti Kama hayo ... huyo kweli itakuwa ametoka mkoaniNa vurugu za public transport wanasikilizana je? Ndio madhara ya kuzamia Jiji.
Hahaa dadeki
For surehahaa sure yaani mwendo kasi jinsi inavyojaza vile " unaanza kutoa wapi uajasiri wakuongea mambo nyeti Kama hayo ... huyo kweli itakuwa ametoka mkoani



Ahhghh bado hainiingii akili '. zoezi la kumuomba mpenzi wako msamaha linahitaji ukimya/ utulivu mzuri mnoo.. otherwise utakuwa unajizidishia stress tu "For sure![]()
Ila OP anasema ilikuwa inatoka Kimara kwenda mjini na ilikuwa jion et so hakuna vurugu![]()
Utulivu ukikosekana huez jipangaAhhghh bado hainiingii akili '. zoezi la kumuomba mpenzi wako msamaha linahitaji ukimya/ utulivu mzuri mnoo.. otherwise utakuwa unajizidishia stress tu "
haswaa ' ..Utulivu ukikosekana huez jipanga
Usipokuwa makini yatakuuaNimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
Siyo kweli kwamba mtu ukishakuwa na Gari huwezi kupanda Mwendokasi au Daladala kuna kipindi kingine inabidi ufanye hivyo.Huyo kaka angekuwa njema kimaisha asingepanda mwendokasi..hlf hivi siku hizi kuna wadada bado wanapenda? Mm najua wadada siku hizi mnachotupendea ni pesa tu.. agata edward
Mapenzi yanaota popote....We nae basi ukatamani akuombe namba hahah....dear C endelea kukaza ili kina Agatha wapate chance...
Wabongo huwezi waelewa .Siyo kweli kwamba mtu ukishakuwa na Gari huwezi kupanda Mwendokasi au Daladala kuna kipindi kingine inabidi ufanye hivyo.
Weww unaonekana ni mbishi tuFor sure
Ila OP anasema ilikuwa inatoka Kimara kwenda mjini na ilikuwa jion et so hakuna vurugu![]()
Si mbishi... Hukunijubu swali langu so nikamind.Weww unaonekana ni mbishi tu
Unachoona wewe kwako kigumu mwenzio anaweza.Ahhghh bado hainiingii akili '. zoezi la kumuomba mpenzi wako msamaha linahitaji ukimya/ utulivu mzuri mnoo.. otherwise utakuwa unajizidishia stress tu "
Huyo Kaka atakua limbukeni! Maswala kama hayo utayaongeleaje Public