Nilikuwa naulizia jibu la swal la jana.Wapi?
Changia kidogo tu.Aghata edward instead of Agata Edward
Sichangii chochote
Nikichangia utanipa nini?Changia kidogo tu.
Utapata like.Nikichangia utanipa nini?
Umeona eee ila Mimi wananichosha wanavyogombea siti tu 😀
Nahitaji kitu special hiyo like ni commonUtapata like.
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
NipoUpo mpendwa?