Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Miscalculation huwa zipo sometimes
Yeah it's all timing akikuwahi ndio kashakuwahi na huo ndio ujanja hapo ungemuwahi wewe ungekua unajipiga kifua muda huu kwa kumchakaza jamaa mwingine na kumuacha na maumivu yake ndani kwa ndani ila kakuwahi kabla hujamuwahi hio imekaa vizuri sana next time you learned a lesson
 
Mahi mbona kama ndio wewe... 🤣🤣
 
Nimekucheki PM hapo mkuu....😋
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…