Hata humu jf. bila connection unaweza kula ban kizembe kizembe.
Hata ukitaka kwenda kwa Mungu lazima uwe na connection na wajumbe wake wa duniani pamoja na kukili kuwa Yesu ni njia, uzima na ufufuo. Sijui nimechanganya au munazungumzia connection hipi?


kwani wee unajua connection ipi?Tuelezee kidogo ilikuwajeHata mm nakumbuka niliingia ofisi fulani na barua yangu ya kumtaka boss wa hapo anipangie majukumu bila kuchelewa.Wakabaki wanauliza uliza mara hatujatumiwa e mail mara kazi zilitangazwa lini mm nawachora tuu ikabidi wakubali kunipokea docs zikafuata baadae huwa wanashangaa docs zangu za dip lakini bodi wanakata chao
Basi wanajuaga mm teeth kumbe connection,![]()
Hapo sawa mkuu ingawa yote ni connection inategemea na ile ya kubebwaSometimes sio "connection" as such - yaani uchukue yoyote kwa kuwa tu una undugu naye. Wanaita "head-hunting" especially kama kazi husika inahitaji technical know-how. Wakati mwingine supervisor anataka kufanya kazi na mtu reliable, tested na mwenye uzoefu, vitu ambavyo sometimes huwezi kuvipata kwa kuinterview total strangers. So, wanaulizia around na kukusanya CVs chache then wanapick humo. Mimi mwenyewe kuna watu wachache nimeshawavuta kazini kwa kuwa nilifanyaga kazi nao sehemu tofauti na ninajua kwa 90% their capabilities.
Nipo mkuu , kwenye jungle hamna network .
Connection inakusaidia kuwa connected
Kwani wewe kwenye umbea kule hakulipi?
Ya roho mtakavitukwani wee unajua connection ipi?
Naamini mambo yanasonga..all the best
Nilivyoeleza ndo ilivyokuwa sina maelezo mengine wewe elewa hivyo hivyoTuelezee kidogo ilikuwaje
YNifanyie connection basi na mimi nipate kazi hapo kamanda
Umenikumbusha msiba mmoja nilihudhuria kupata chakula ikawa mpaka connectionHata walio Tiss wote walipata kazi hizo kwa connection,inasikitisha!
Tz bila connection hata msibani unaweza usipate msosi.
Jamaa kaongea vizuri sana lazima uende bar heavy ndio kunapatikana connection zamani nilikuwa napinga ila nilikuja kupata matokeo mwenyewe mm sinywi pombe ila bar naenda sana nimekutana na wakuu wengi wa idara huko mambo yanaendakuna jamaa hapo juu kawapa namna ya kupata connection pia waweza itumia
Hahha hahha Mjini ConnectionAiseee nimeajiriwa ofisi moja hapa mjini kwa miezi kadhaa sasa kutokana na ucheshi wangu nimezoeana na watu kwa mda mfupi sana kwenye story story za hapa na pale za wanazengo wenzangu wahapo ofisi bhana kilantakae ingizia neno la imekuwaje uko hapa anasema connection yani karibia staff wote connection hakuna hata aliyefanya interview ni connection duh nikasema duh sasa kina kajambe nani wasio na connection itakula kwao mi mwenye nikajitathimini niko mule kwa connection pia nikasema wote ngoma drooo tuendeleeni kuchapa kazi kimoyo moyo lakini ...kama boss uko humu nisamehee tu maana kazi bado naipenda ila CONNECTION. Kuitwa interview mbwembwe tu
Unataka kandarasi au zabuni Fulani yenye dhamani nyingi unafikiri utaipataje mkuu.kwenye low levels kama hizo za u-employee kwenye mishahara midogomidogo ndo kuna connections ila kwenye ngazi kubwa level ya decision making hapo wanakuaga serious kwenye recruitment. yani huo ndio uti wa mgongo wa kampuni, hapo hawaletagi upuuzi wa connection, wanatafutaga real talent, real expertise, real decision makers.