Kweli maisha connection

Kweli maisha connection

mtu hunywi pombe utapataje connection?/Walevi wana roho nzuri mno sijapata kuona
Hakuna sehemu ya kupata connection haswa ukiwa umejibrand vizuri kama kwenye mikutano (conferences) na semina. Hapa unabidi uone ipi ya kwenda japo wengi wanaziogopa sababu nyingine zipo paid

Bar hizi za kawaida hazina connection za maana zaidi ya kupata chances za kusindikiza maisha. Wote mnajikuta average joes
 
Hii Tabia ya connection kwenye nchi hii ilitaka iwe kansa kwa bahati nzuri sekratarieti ya ajira ikaanzishwa,pamoja kuwa na changamoto imesaidia sana watoto wa maskini kupata fursa otherwise mambo yangekuwa magumu sana,kwasababu viongozi hawa wa serikali wanapenda kuwaweka ndugu zao sehemu zenye ulaji!Unakuta mtu anajifanya anaipenda Ccm kindakindaki kumbe kuanzia mtoto,mjomba,ba mdogo wapo kwenye mataasisi kwaajili ya connection zake...Pigana mwenyewe ya nini uletewe mezani.
Kwa hiyo unataka kusema Utumishi hakuna Connection ?
 
Mara nyingi anaesema wenzake wachawi yeye huwa mchawi kwakiwango cha juu sana kiasi kwamba akiongeza kidogo tu anakuwa malaika wa kuzimu. Asante
Mawazo yako mkuu, Ila ukweli Ni kuwa kwenye hilo kundi Ni Mimi tu ndo Nina vyeti wengine wameungaunga tu. Labda ndo maana.
Nimekuja kujua juzi tu hapa.
 
Hata humu jf. bila connection unaweza kula ban kizembe kizembe.
Hata ukitaka kwenda kwa Mungu lazima uwe na connection na wajumbe wake wa duniani pamoja na kukili kuwa Yesu ni njia, uzima na ufufuo. Sijui nimechanganya au munazungumzia connection hipi?
 
nil

Nilomba intern sehem iv ambayo nimakao makuu ya ofice fulani iv apa TZ nikakubarika na mwenye kampun nilipofika oficini kila mtu ananiuliza umeletwa na nani kwani kila mtu ameletwa mgine sijui na mama mngine na baba sijui na nani me nikawambia nimekuja mwenye maisha haya bana
Hata mm nakumbuka niliingia ofisi fulani na barua yangu ya kumtaka boss wa hapo anipangie majukumu bila kuchelewa.Wakabaki wanauliza uliza mara hatujatumiwa e mail mara kazi zilitangazwa lini mm nawachora tuu ikabidi wakubali kunipokea docs zikafuata baadae huwa wanashangaa docs zangu za dip lakini bodi wanakata chao
Basi wanajuaga mm teeth kumbe connection,😆😆😆😆
 
Hata mm nakumbuka niliingia ofisi fulani na barua yangu ya kumtaka boss wa hapo anipangie majukumu bila kuchelewa.Wakabaki wanauliza uliza mara hatujatumiwa e mail mara kazi zilitangazwa lini mm nawachora tuu ikabidi wakubali kunipokea docs zikafuata baadae huwa wanashangaa docs zangu za dip lakini bodi wanakata chao
Basi wanajuaga mm teeth kumbe connection,😆😆😆😆
We jamaa sio mtu mzuri, hiyo ni connection plus ten percent. Wenye masikio ndo wamesikia tu.
 
Sometimes sio "connection" as such - yaani uchukue yoyote kwa kuwa tu una undugu naye. Wanaita "head-hunting" especially kama kazi husika inahitaji technical know-how. Wakati mwingine supervisor anataka kufanya kazi na mtu reliable, tested na mwenye uzoefu, vitu ambavyo sometimes huwezi kuvipata kwa kuinterview total strangers. So, wanaulizia around na kukusanya CVs chache then wanapick humo. Mimi mwenyewe kuna watu wachache nimeshawavuta kazini kwa kuwa nilifanyaga kazi nao sehemu tofauti na ninajua kwa 90% their capabilities.
 
Back
Top Bottom