nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,478
- 11,169
Hivi hakuna mtu wa TPC hapa anikonekiti?
Safi sanaJamaa kaongea vizuri sana lazima uende bar heavy ndio kunapatikana connection zamani nilikuwa napinga ila nilikuja kupata matokeo mwenyewe mm sinywi pombe ila bar naenda sana nimekutana na wakuu wengi wa idara huko mambo yanaenda
Shida iko wapi sasa mzee baba kwani hakuna watu mamepitia cheti diploma then university wakapewa mkopo na bodi?Sasa wewe doc za dip alaf bodi wachukue chake mbona unaleta chai
Weee bhana wanaokatwa hela ni wale waliokopeshwa tena docu zinasoma graduate bachelor sasa wewe na diploma yako unakatwaje mkopo unatufanya kama hatujaenda school ya doleShida iko wapi sasa mzee baba kwani hakuna watu mamepitia cheti diploma then university wakapewa mkopo na bodi?
Pole na acha kukariri si ajabu utafiti umeonyesha graduate wengi ni vilazaWeee bhana wanaokatwa hela ni wale waliokopeshwa tena docu zinasoma graduate bachelor sasa wewe na diploma yako unakatwaje mkopo unatufanya kama hatujaenda school ya dole
Hapana mimi sio mwana muzikiMziki haulipi bro?![]()
Ni kweli graduate wengi ni vilaza ukiwemo ngoja wenye kuelewa waje wanieleweshe maana hata eleza yako ni hafifu alaf hainiingii akiliniPole na acha kukariri si ajabu utafiti umeonyesha graduate wengi ni vilaza
Nakueleza huelewi usipoelewa saizi usiniulize tena
Chukua cheti chako kiwe certificate au chochote sio lazima cha chuo kikuu ombea kazi hicho mfano uwe mhudumu au mlinzi but kikubwa tu utambulike na utumishi na uwe uliwahi fadhiliwa na bodi uone kama barua ya kulipa deni haikufuati.
Ishu hapa ni kwamba soon ukiajiliwa majina yote huwa yanapelekwa bodi ya mikopo wanatrace kama umewahi nufaika regardless unafanya kazi ya qualification chini ya degree but pia sio kila mwenye degree alisomeshwa na mkopo wa bodi
Duniani kila kitu connection, hata peponi pia lazima connection..![]()
Jamaa ameongea jambo la msingi lakini kimzaha ingawa ndiyo uhalisia wenyewe.
Wakati niko chuo nilikuwa na vijisenti kidogo ambavyo viliniwezesha kwenda pub heavy, sasa siku moja nimeingia pub moja namkuta lecture wangu anakata kiuno ilikuwa live band nikaunga tela kumpa kampani.
Baada ya kurudi mezani nikamuongezea mzigo mezani moja baridi moja moto, toka hapo nadhani unajua nini kilichoendelea



vi sup sup uchwara vikakoma
UmekaririshwaUnatumia jina la watu
Sasa si ndo umsaidie na weweNikusaidie nini sasa mkuu wakati mi mwwnyewe nimesaidiwa