Mbona rahisi tu kama ni mnywa pombe nunulia watu ila angalia unaowanunulia wawe wale wenye class flani hivi au kama ni muongeaji basi tumia kipaji chako kunafkia maana sikuizi interview mbwembwe tuAseh unatushauri nini Mkuu si tuona tafita ajira
Tutengenezeje Connection kama ni watoto wakajamba
Tunaomba binu zakupata kwanza hiyo connection
Je wanaoitwa kwenye interview wanaedaga tu
Unawashauri vijana wafanye nini ili waweze kufanyikiwa kupata connection?
Watu gani muhimu zaidi wakuwafata ili mfu aweze kupata connection Mkuu
Nilomba intern sehem iv ambayo nimakao makuu ya ofice fulani iv apa TZ nikakubarika na mwenye kampun nilipofika oficini kila mtu ananiuliza umeletwa na nani kwani kila mtu ameletwa mgine sijui na mama mngine na baba sijui na nani me nikawambia nimekuja mwenye maisha haya banaAiseee nimeajiriwa ofisi moja hapa mjini kwa miezi kadhaa sasa kutokana na ucheshi wangu nimezoeana na watu kwa mda mfupi sana kwenye story story za hapa na pale za wanazengo wenzangu wahapo ofisi bhana kilantakae ingizia neno la imekuwaje uko hapa anasema connection yani karibia staff wote connection hakuna hata aliyefanya interview ni connection duh nikasema duh sasa kina kajambe nani wasio na connection itakula kwao mi mwenye nikajitathimini niko mule kwa connection pia nikasema wote ngoma drooo tuendeleeni kuchapa kazi kimoyo moyo lakini ...kama boss uko humu nisamehee tu maana kazi bado naipenda ila CONNECTION. Kuitwa interview mbwembwe tu
Tupe njia basi Mkuu na sisi tukomae siku zijazo fujue jinsi ya kujiconnect MkuuMi mwenyewe connection nimepewa
Mara nyingi anaesema wenzake wachawi yeye huwa mchawi kwakiwango cha juu sana kiasi kwamba akiongeza kidogo tu anakuwa malaika wa kuzimu. AsanteHata hapa ofisini kwetu wote Ni connection na wengine mpaka wamehonga. Ila Mimi ndo sikuwa nikawa boss wao na wananiheshimu.
Msipende kukaa vijiweni kupiga soga au kutumia mitandao ya kijamii vibaya kujipost post maswaga kibao fanyeni kama ndio kazi za kutafutia connection humo sasa unalikuta lijitu liko fb linatongoza mademu insta linalike na kukoment page za jumalokole wakati mwenzake umbea umemnunilisha brevisNa mimi nifanyie mpango mkuu