Kweli maisha connection

Kweli maisha connection

Mara nyingi anaesema wenzake wachawi yeye huwa mchawi kwakiwango cha juu sana kiasi kwamba akiongeza kidogo tu anakuwa malaika wa kuzimu. Asante
 
mtu hunywi pombe utapataje connection?/Walevi wana roho nzuri mno sijapata kuona
Aisee hebu kunywa safari hapo alaf ulipie mwenyewe huko ulipo waambie wawe wanaenda hata ma club pia makanisani napo
 
Lete njia na mbinu nyingi Mkuu za kujiconnect aseh
Au toaa fomular basi tuweze kuwin na sisi Mkuu
 
Wakati nakaribia kumaliza chuo zile semista mbili nikaanza kutafakari je mustakabali wa maisha yangu utakuaje? Nikaanzaga kuwadodosa baadhi ya ndugu waliokua vitengo mmoja alikuaga HR sehemu fulani katika kumdodosa dodosa nikaona kuna technical NO ananipa basi nikajisemea vyeti vipo nitapambana mwenyewe wiki moja kabla ya kumaliza chuo nikaanzaga kutuma CV sehemu mbali mbali nikamaliza mwezi wa sita nikachill kimtindo nikaombaga kazi sehemu fulani hivi mwisho wa reli huko mambo yakajipa mzee wa kazi nikaipata ile kazi, tangu hapo sijawahi kuomba mtu ani connect kazi hata siku moja yani kazi hua nazitest zali mwenyewe CV imepangika kiasi kwamba najua hawajamaa lazima waniite kuna interview moja jamaa walisema ambatanisha CV na vyeti vya chuo mimi niliweka cover letter na CV tu jamaa wakaniitaga sikumbuki kama nilivibeba vyeti vyangu au la ila sikuulizwa chochote kuhusu cheti aisee ingawa sikuipataga ile kazi ila ilinipa kujiamini hadi dakika hii i dont owe any one enything for the job i am doing except the almighty God na bi mkubwa wangu anaeniombea kijana wake nichanje mbuga...
 
kwenye low levels kama hizo za u-employee kwenye mishahara midogomidogo ndo kuna connections ila kwenye ngazi kubwa level ya decision making hapo wanakuaga serious kwenye recruitment. yani huo ndio uti wa mgongo wa kampuni, hapo hawaletagi upuuzi wa connection, wanatafutaga real talent, real expertise, real decision makers.
 
Mkuu mbinu hutofautiana ni kama kutongoza demu kina mtu anaingia na gia yake mkuu
 
Vizuri sana mkuu
 
kwenye low levels kama hizo za u-employee kwenye mishahara midogomidogo ndo kuna connections ila kwenye ngazi kubwa level ya decision making hapo wanakuaga serious kwenye recruitment. yani huo ndio uti wa mgongo wa kampuni, hapo hawaletagi upuuzi wa connection, wanatafutaga real talent, real expertise, real decision makers.
Mkuu haina haja ya kuwa level izo zote zitakuja mdogo mdogo tu cha msingi mwisho wa mwezi ankara inaingia kwa akaunti
 
Msipende kukaa vijiweni kupiga soga au kutumia mitandao ya kijamii vibaya kujipost post maswaga kibao fanyeni kama ndio kazi za kutafutia connection humo sasa unalikuta lijitu liko fb linatongoza mademu insta linalike na kukoment page za jumalokole wakati mwenzake umbea umemnunilisha brevis
Umeanza kunibagaza kwasababu wewe umeshapata sio?
 
Kizuri kula na nduguyo tuconnectiane jamani
 
Hii Tabia ya connection kwenye nchi hii ilitaka iwe kansa kwa bahati nzuri sekratarieti ya ajira ikaanzishwa,pamoja kuwa na changamoto imesaidia sana watoto wa maskini kupata fursa otherwise mambo yangekuwa magumu sana,kwasababu viongozi hawa wa serikali wanapenda kuwaweka ndugu zao sehemu zenye ulaji!Unakuta mtu anajifanya anaipenda Ccm kindakindaki kumbe kuanzia mtoto,mjomba,ba mdogo wapo kwenye mataasisi kwaajili ya connection zake...Pigana mwenyewe ya nini uletewe mezani.
 
Back
Top Bottom