Kweli Lowassa na RA wana nguvu

viongozi wangekua na uzalendo na nchi tusingekua hapa tulipo,hayo mnayoyafanya mnadhani 2015 mtawaambia nini wananchi waliowapa nafasi?
hata wale viongozi ambao kwa kiasi kikubwa wtz waliona kuwa wana mwelekeo nao hawana maana kitendo cha cdm kufunga ndoa na rachel kinatia aibu
 
Hii hatari na noma kweli kweli
 
kufanya kosa haimanishi na wewe ufanye kosa kitendo cha cdm kujeuka kuwa vuvuzela wa rachel ni aibu na i can assure that wtz wataelewa hii ndoa yenu na rachel na ndio tutakuwa tunaongelea kwamba zamani cdm ilikuwa na nguvu

Wewe waache wawachekee halafu 2015 wenzao wauze chama halafu wawaache njia panda. Cdm imeshaingiliwa na mdudu na anashambulia ghala na wenye ghala wanabaki kumsifia mtunza ghala. Subiri walie!
 

EL the president of TZ under CCM, RA the Prime Minister of TZ under CCM. JK is serving their interests. JK and CCM without EL and RA will never breath a second!
 
Sasa kwa mfano mimi Nape huwa nakataa hoja zake zisizo natija,ubunifu wala tafiti.Je,hapo mafisadi watakuwa wamehusika vipi?Hebu tajaribu kuleta posts zenye arguments nzito.Tuache ku-base katika hoja nyepesi na Ramli
 
Sasa kwa mfano mimi Nape huwa nakataa hoja zake zisizo natija,ubunifu wala tafiti.Je,hapo mafisadi watakuwa wamehusika vipi?Hebu tajaribu kuleta posts zenye arguments nzito.Tuache ku-base katika hoja nyepesi na Ramli
Tumeamua kuwapuuza hao wanaolipwa kwa kazi za kuuza utu wao humu.zinapokuja habari za uchafu wa ccm huwa tunaushaidi na sio huo upuuzi.alafu angalia walivyojazana utajua tu wameambiana kuchangia this is too low jamani ficheni ukiazi wenu basi kidogo
 
Wewe waache wawachekee halafu 2015 wenzao wauze chama halafu wawaache njia panda. Cdm imeshaingiliwa na mdudu na anashambulia ghala na wenye ghala wanabaki kumsifia mtunza ghala. Subiri walie!
Nape hajui atendalo kama wanampango wa kuwafuka RACHEL wanasubiri nini? Kwanza huyo nape amewahi kuwataja hadharani hao mafisadi?juzi katibu wenu si kasema hafukuzwi mtu? Nape amekana hilo?wezi mnawajua mnawapa cku 90! Kama si usanii ni nini?
 
mkama p umetumwa na hutashinda kwakuwa unashindana na haki.hapo umeona utateka watu kwa mbinu kama hizi! Sisi tunalipua tu.
 
mkama p umetumwa na hutashinda kwakuwa unashindana na haki.hapo umeona utateka watu kwa mbinu kama hizi! Sisi tunalipua tu.

Ujadili hoja ukiona haina mashiko pitiliza.
 
Sasa kama ccm mmewagwaya mara muwape siku 90 ghafla mkahairisha..na hapo mna jesh,mahakama,polis,mgambo, magamba, mabomu sa si tufanyaje jaman..mafisadi na ccm ni sawa samak na maji..
 
Chadema wamewatajia...sasa malizien mnashndwa,. Mnataka kila kitu mfanyiwe...
 
Wewe huoni mlivyotekwa nao hata hapa jf, mnashambulia Nape badala ya RA na kundi lake.
Naaw!Hiyo vita ya ndani ni ya mafisadi vs mafisadi.Ni wanaotaka kula vs waliovimbiwa.Kwa upande mwingine,maadui wa nje ie upinzani,hajui namna ya kuwahandle.Ameonyesha udhaifu kwa kujikita kwenye siasa za ubaguzi ambazo hazilipi...Tatizo ni yeye na wala si JF.
 
Wakuu tumieni common sense sometimes.Huwezi kuona kuwa cdm would like to see that Rachels stays within ccm as much as they would like them to leave chama cha mapinduzi?Kama wakiondoka,ina maana ccm itarudisha imani kubwa sana kwa wananchi na watajiunga na ccm kwa kasi.Its a give and take kind of situation for cdm.Yani cdm wanaweza kupoteza wanachama kwa mafisadi hao kujiondoa ccm licha ya kwamba nia ni kuzuia mafisadi wasiendelee kulitafuna Taifa.
Na hilo la kuwataja wengine ndani ya ccm ni kama tactic tu ili kwamba hata kama hao Rachel wakiondoka,impact yake isiwe kubwa sana kwasababu ina maana itabidi wajivue magamba mengine.Ni tahadhari kwamba magambaz is everywhere in ccm....Kwamba hata mkiwafukuza hao Rachels haina maana kwamba mmekuwa safi.Simple,hayo mengine ni blah bla zenu tu za kisiasa.
 
The only way nitabadili mawazo kama nilivyoainisha kwenye bandiko langu lililopita,ni kama hayo niliyo ya highlight ni kweli.Nachelea kusema ni dirty politics...Yani kuna watu humu wamekuamini unaposema kwamba RA aliandika orodha zote za mafisadi?Huu ni uongo ambao ni very cheap.
 
CCM BANA WALE WANACHAMA SI WENU? KINAWASHINDA NN KUWAFUKUZA? au mlitaka chadema waje wawafukuzie? Achaneni ni mbinu ya miaka 47, hatumbumbaziki kirahis hvo..
 
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.

Nimekua nasoma maoni yako,siamini kama unachukia ufisadi kwa ujumla wake. Mimi naona una chuki zako binafsi kwa akina Rachel. Maana naona kwako ww hao wakiondoka CCM basi unaona chama chako kitakua kimejisafisha. Tatizo la rushwa ktk CCM,serikali na jamii yetu kwa ujumla ni kubwa sana. Tuache kuwanyooshea vidole watu watatu eti hao wakichukuliwa hatua,mambo yetu yatakua sawa. Usipumbazwe na makundi yanayohujumiana na kuchafuana ndani ya chama chako kikongwe ktk kutafuta urais 2015.
 
EL the president of TZ under CCM, RA the Prime Minister of TZ under CCM. JK is serving their interests. JK and CCM without EL and RA will never breath a second!

You are entitled to your opinion, but you couldn't be more myopic.
 

Ni lazima uelewe kwamba katika kila jambo kuna vinara au ring leaders. Hawa watatu ndiyo mizizi ya rushwa na utawala mbaya katika miongo hii miwili. Mafisadi wengine tuanowasikia na kuwaona na mawakala na makuwadi wa hawa jamaa. Mimi nakubali kwamba hawa watatu wakiwa neutralized basi asilimia 75 ya tatizo litakuwa limetatuliwa na hawa kupe wengine watakufa baada ya ng'ombe kuchinjwa.
 

Hulazimiki kuamini hayo hasa kwa vile wewe una hulka ya u-Tomaso na kwa vile hutaki kuwashushia hadhi viongozi wako unaowaabudu sana. Lakini kwa wanaojua watakwambia kwamba hao miungu wako sasa ni manamba wa mafisadi tu!
 

Je ni kweli baada ya kuwagusa anashambuliwa kama mpira wa kona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…