Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Kazi inahusu mambo mengi ofisini, kuna kupika chai ofisini, kufanya usafi wa hapa na pale, mwanaume ataweza?
 
Mbona nyuzi nyingi sana zinawaatack hawa viumbe wa Mungu
 
Ni ngumu sana kumtibu mtu ambaye hajioni mgonjwa....free advice,,Mkuu tafuta dem kama unaye muache huyo tafuta mwingine au ongezea wa pili kwasabab ni either uko single au upo kwenye toxic relationship ambapo huyo dem anauexploit u'Beta male wako ipasavyo
 
🤣🤣🤣 Bata ni bata tu hujui life langu mkuu tulia kunywa maji uvute pumzi ya kutosha uishi..
 
🤣🤣🤣 Bata ni bata tu hujui life langu mkuu tulia kunywa maji uvute pumzi ya kutosha uishi..
Uandishi wako tu unakuonesha wewe ni mtu type gan...Hata uandike insha yenye maneno 200 unaishi Dubai kwenye Mansion una gari gani.....nk.nk.lakin underneath kwenye hizo layers tu za maandishi yako between the lines, your true character will show and that is a SIMP
 
Mkuu umeshinda okay let me agree with you nipo single na sio tu nipo single sijawahi kufanya na mwanamke na siwajui wanawake vizuri hata ninayoyaandika siyajui ninayoyaandika na ukweli kuhusu maisha yangu siujui isipokuwa wewe ndo unajua.

Hapo vipi..?
 
congrats....step one ya recovery toyote ni realization you are sick
 
Una uchungu mkubwa sana na wanawake,mojawapo aliwahi kukufanya nini akakuvuruga hivyo?
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Umeongea point,
Nje ya hapo lazima tukubali hakuna binadamu mkamilifu kila kiumbe kina madhaifu yake sio ku base upande mmoja,utakuwa unakosea.
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Hatuongelei undugu hapa but reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…