Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Hizi ni zile hoja za kawaida nilizotegemea kutolea na watu wanaogafafa na wewe
Ha ha! Think big ndugu acha lawama zisizo msingi.. usijelaumu kitu usichojua jinsia zenyewe watu hata hawachagui unajikuta tu! So unawalaumu kwa upuuzi wa wewe kushindwa kuelewa.

Hizo ni hulka ndugu.
 
Umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu.

Wanawake wetu ni wazuri wala hawana roho mbaya.

Wanawake wakiafrika ni wavumilivu sana.

Wewe jinga mbinafsi jifunze kuheshimu wanawake wetu weusi wazuri.
 
Umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu.

Wanawake wetu ni wazuri wala hawana roho mbaya.

Wanawake wakiafrika ni wavumilivu sana.

Wewe jinga mbinafsi jifunze kuheshimu wanawake wetu weusi wazuri.
Tena hawa wa kiafrika ndio wachawi na mashetani na kabisaa
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Kama kuchangia hoja ni haki yangu basi mimi nasema hivi siwezi kusimama kumtetea mwanamke hata siku moja.
 
Mheshimiwa mwandika bandiko ulichelewa kuwafahamu Sana,Mimi hata nikimkuta anabakwa napita tu,nawaambia masela waendelee,
Kuna jamaa yangu Fulani bodaboda,alimpa lift mdada kufika maskani kijiweni mdada kaomba kushuka,na akadai chenji,kamjazia watu,Tena alisema ametoa Ela kumi,ikabidi jamaa ampe tu,elfu Tisa,lift katoa,na hela katoa.
Weka mbali na watoto,wanawake kabisa
 
Hapo vipi

Ukitumia akili ya kawaida na utafiti partial na jinsi unavyoingiza mshedede kwenye hiyo kitu chake hauweza kukubaliana na mimi juu ya hili ila ukweli na fact mwanamke ndio kiumbe namba mojo mwenye roho mbaya Duniani.

Kabla hatujafika kwenye ushahidi niliokutanana nao ..Ngoja kwanza tumungalie mwanamke alivyotafsiriwa na Mungu aliyemuumba mwenyewe.

Kwanza,katika idadi ya mitume mwanamke tunaona hakumtumika sana na Mungu..nadhani anasababu maalum anayeijua yeye kuliko sisi tunayetumia sababu za kisiasa

Mwanamke ndio mtu aliyekuwa chanzo cha tabu na matatizo yote Duniani baada ya kula tunda na shetani.
Tafsiri yake sio muaminifu,msaliti na mdhaifu kutumika na kiumbe mwovu.

Anguko la Somson wa kwenye Biblia ni mwanamke..huyu mtu ni shida

Wachawi wengi hapo Duniani na wanaoharibu jamii ni mwanamke,ndio maana kwa wakristo katika kitabu cha Biblia kutoka 22:18..imeandikwa usimwache mwanamke mchawi akaishi..mwanamke ni wakuwawa kabisa.

Wanataoa mimba na kutupa watoto ovyo jalalani.

Katika hali ya kawaida mwanamke na mwanaume wakifanya kosa kwenye uhusiano mwanaume anaweza kusamehe na kusahau,mwanamke hawezi kusahau kuna siku atalipiza kisasi.

Leo hii kama mwanamke anaweza kuwa na best yake alafu yupo single ila ukijaribu kumuambie akuchezeshea maneno utasikia anamwanaume wake au muambie mwenyewe..ila kwa sisi wanaume ukimtaka mwanamke faster mwanaume mwenzako anakusaidia..huu ni mfano mdogo ila inamaana.

Secretary mwanamke na mwanaume..mwanamke utasikia hamna kazi..mwanaume usijali lete application zako nitafikisha...pambana utafanikiwa.

Ukiangalia kubeba mimba sijui miezi tisa alafu ukamuano mwanamke ni perfect utakuwa mpumbavu wa mwisho..kubeba mimba ni njia kama ya haja kubwa na ndogo inavyofanya kazi...hivyo basi anza kufanya haja kubwa na ndogo inathamani kubwa kuliko akili,jicho n.k

Ndio maama kuna watu walikuja kumuambia Yesu.tanzama mama yako anakutafuta usiku kucha akawapa jibu la kistaraabu kwa kuwaheshimu yakwamba mama yangu na ndugu zangu ni wale tu wanaosikia neno la Mungu.

Ushauri wangu wanaume tujitahadhari sana na wanawake na tuishi nao kwa akili kwasababu mpango wa awali wa Mungu ni mwanaume na sio mwanamke...baada ya ujio wa mwanake amekuwa ndio chanzo cha mwanadamu kwa ujumla kuwa mbali na Mungu ...na amekuwa chachu ya kumzuia mwanaume kuiyona mbigu.

Sura ya mwanamke kwa mwanaume ni sawa na shetani aliyezeeka anayevaasura ya malaika...hiyo ni reception environment ili apate kukuharibu kabisa.

NB.mwanamke ndio mwanya wa shetani kumzuiya mwanadamu kuingia mbinguni au kuharibu mahusiano yake na Mungu...Refer to religions history.
Tafuta helaaaaa !!!!!! Wanawake ni paradise ndogo ntakuja kuelezea baadae lkn tafuta helaaaaa kwanza bila iooooo hawa viumbe ni nyokaaaaa kabisaaaa na ana sumu kali
 
Wacha uongo.

Mwanamke wa kiafrika ni mkarimu, mvumilivu na mcheshi.

Tena ni mama anayefahamu kutunza familia.

Wanaume wengi wa kiafrika ni walevi na wabinafsi.

Inasikitisha sana.

Very disgusting.

Nyie matoto ya kiume mliokuzwa na single mothers mlistahili kuwa wanawake tu, sio kwa chuki hizi mlizonazo dhidi ya jinsi yenu.

Anyway congratulations for winning The "Best simp award"

Our dear JF feminists love this post.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika maneno mengi ila shida ni una uelewa mdogo kwa kile ulichoandika..


Ulipaswa kusema mwanamke amepewa nguvu ya kujenga au kuharibu mambo/vitu/watu.

Sasa kama ilivyo kawaida mtu yeyote ukimpa nguvu asipokuwa makini ataitumia kuharibu zaidi na sio kujenga..Na dunia inazungumzia ubaya sana kuliko wema hivyo ndo hapo utasikia mwanamke hivi mwanamke vile..

Ila kiukweli kuna watu wamefanikiwa kwenye maisha sababu tu walipata wanwake ambao kimsingi ilikuwa chachu ya kubadilisha maisha yao,mama zetu hawa wamefanya mengi sana sisi kufika sehemu flani...

Itoshe kusema wana nguvu flani ambayo yawapasa kuwa makini otherwise jamii inaweza kupotea angalia jamii za zamani kipindi wanaume ndo wanatabia za ajabu ajabu kuvuta bangi,wakorofi na kila kitu!!!sasa cheki na jamii ya sasa ambayo wanawake wamekuwa na tabia za ajabu km sisi wanaume!!Angalia jamii ipi imevurugwa zaidi
 
Back
Top Bottom