Karibu pm nikupe zawadi yako mkuuMkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?
Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
🙄🙄🙄Karibu pm nikupe zawadi yako mkuu
hiyo ni asili... usipingane na asili KENZYMkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?
Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Achana na maswala ya kupelekwa Kama kondoo ndugu nawe unaubongo fikiri wanawake nao ni binadamu Kama sisi me.. hakuna cha kusema sijui vile au hivi hizo historia zisikutishe we jaribu kuangalia kosa source yake Kama ni dhambi alianza kuasi shetani na si mwanamke lkn Yule aliemtengeneza huyo shetani akaamua amtupe shetani duniani ambapo ameweka viumbe anaowapenda na kawaumba kwa mfano wake!.. shetani akafanikiwa kumshawishi mwanamke na hatimae mwanaume! Hivi ukifikiri kiundani Kama kweli unakichwa kizuri cha kufikiri utagundua mwanzo wa yote ndie mwanzo wa kila kitu ndugu! Hakuna tabia yoyote kiumbe kinarithi kutoka mahali pasipofahamika isipokuwa kiumbe kinarithi tabia kutoka katika source yake.. pasipo kumung'unya maneno Mungu ndio chanzo cha wema na ubaya! Kama yeye ni mwema tu basi Kuna sifa inapungua kubwa sana ya uweza na utambuzi wa kila kitu na hapo yeye atakuwa si chanzo cha kila kitu maana ukiutenga ubaya hivyo tutasema ubaya hajui ulipotoka hivyo sifa ya ujuzi wa kila kitu na mwanzo wa kila kitu inamvuka!hiyo ni asili... usipingane na asili KENZY
Mungu kakupa tahadhali uishi na hao dada, mama, shangazi na mke wako kwa akili nyingi
Acha ushamba wewe usifikiri watu wote wanaandila thead humu hawana pesa.Tafuta helaaaaa !!!!!! Wanawake ni paradise ndogo ntakuja kuelezea baadae lkn tafuta helaaaaa kwanza bila iooooo hawa viumbe ni nyokaaaaa kabisaaaa na ana sumu kali
Bado hujawaelewa vizuri, subiri muda ukifika utautafuta huu uzi.Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?
Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Yote kheri mkuu..Bado hujawaelewa vizuri, subiri muda ukifika utautafuta huu uzi.
Sio kila binadamu aweza kuwa Shabaab au mbakaji. Yeye pia ana anga zake ukijichanganya anakutenda. Rejea uzi tena itaelewa
We ungeandika thread yako ueleze hayo unayoyataka,mimi nina sababu zangu za kuandika hivi.. kwa hiyo ubongo wako ndio mdogo kabisa kama panzi.Umeandika maneno mengi ila shida ni una uelewa mdogo kwa kile ulichoandika..
Ulipaswa kusema mwanamke amepewa nguvu ya kujenga au kuharibu mambo/vitu/watu.
Sasa kama ilivyo kawaida mtu yeyote ukimpa nguvu asipokuwa makini ataitumia kuharibu zaidi na sio kujenga..Na dunia inazungumzia ubaya sana kuliko wema hivyo ndo hapo utasikia mwanamke hivi mwanamke vile..
Ila kiukweli kuna watu wamefanikiwa kwenye maisha sababu tu walipata wanwake ambao kimsingi ilikuwa chachu ya kubadilisha maisha yao,mama zetu hawa wamefanya mengi sana sisi kufika sehemu flani...
Itoshe kusema wana nguvu flani ambayo yawapasa kuwa makini otherwise jamii inaweza kupotea angalia jamii za zamani kipindi wanaume ndo wanatabia za ajabu ajabu kuvuta bangi,wakorofi na kila kitu!!!sasa cheki na jamii ya sasa ambayo wanawake wamekuwa na tabia za ajabu km sisi wanaume!!Angalia jamii ipi imevurugwa zaidi
Lait wangekuwa na nguvu hayo wangefanya tu km wanaweza kuuza miil yao hili ni dk tuMkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?
Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.
Dah !!! Hii stor ilitokea kenya iliniuma sn yaan wanawake ni washenzHuo ndio ukweli mkuu wala hujakosea kabisa ukiwakuta kwenye madaraka hawa kama HR, receptionist na ofisi zingine anaweza kutemea hata mate kama unataka msaada kwake. Mwanamke ndio aliharibu mahusiano mazuri ya mwanadamu na mungu.
wanawake ni kiumbe hatari sana ebu fikiria, Mama anamlazimisha mtoto wake akatoe ushahidi mahakamani kuwa amebakwa na baba yake mzazi wa kisa tu wamekorofishana na mtu anafungwa mmaiisha jera kwa kusingizia bila huruma?
Basi tu ni mama zetu hawa Lakini hata mungu aliyewaumba alijua akiri zao ndio maana akatuambia tuishi nao tu kwa akiri. basi.
Mkuu hivi unafikiri siku ya hukumu Mungu ataangalia source na siyo impact?
Jiulize kwanini baada ya Adam na Evah kula tunda wote walipewa adhabu na siyo Evah peke yake ambaye ndiye aliyesababisha Adam ale tunda?
Ulichofanya hapa ni kuitupia lawama jinsia ya kike kama ambavyo Adam alimtupia lawama Evah!
Pale alipoulizwa na Mungu kwanini amekula tunda akajibu eti ni huyu mwanamke uliyenipa ndiye aliyenishawishi akidhani kwamba Mungu angempa adhabu Evah peke yake lakini sote tunajua aliwapa adhabu wote wawili!
Evah aliambiwa atazaa kwa uchungu na Adam aliambiwa atakula kwa jasho lake!
Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na hukumu siku ya mwisho kwa sababu chanzo cha dhambi ni shetani hivyo angehukumiwa peke yake lakini jiulize kwanini hataenda kuhukumiwa peke yake bali wenye dhambi wote (hata kama yeye ndiye aliyewashawishi) nao wataenda kuhukumiwa naye?
Ni kwa sababu Mungu amempa kila mwanadamu (mwanaume na mwanamke) nguvu na uwezo wa kumshinda shetani na kuishinda dhambi kupitia Mungu mwenyewe!
Vivyo hivyo wanaume mna uwezo wa kuvishinda vishawishi vyote vya wanawake na wala hakuna kisingizio chochote chini ya jua kinachowafanya mshindwe kuzishinda dhambi zinazowakabili!
Hivyo endeleeni kudanganyana huku duniani na kuwatupia lawama wanawake tu (kwa sababu ni nature yenu wanaume kutupa lawama kwa wanawake kwenye kila kitu kumbuka ilianzia kwa Adam)!
Lakini kaa ukijua siku ya hukumu kila mtu atahukumiwa kulingana na imani yake na matendo yake hakutakuwa na kutupiana lawama tena eti sijui nani alinisababisha nitende dhambi kwa sababu hata shetani mwenyewe hautaruhusiwa kumtupia lawama sembuse mwanamke!
Kwanini ni kwa sababu Mungu alimruhusu shetani aje kututia majaribuni lakini pia akatupa uwezo wa kumshinda huyo huyo shetani!
Kilichobaki wewe tubu umrudie Mungu wako mkuu kutupa lawama kwa jinsia fulani hakutakusaidia chochote kwa sababu ukishakufa utahukumiwa wewe kama wewe hakuna mtu atakayebebeshwa mzigo wako wa dhambi utaubeba wewe kama wewe!
Wewe ukibaka na usipotubu lazima ukahukumiwe kwa kubaka na hata ukiua na usipotubu lazima ukahukumiwe kwa kuua
Maandiko yako wazi na sheria ziko wazi Mungu alishaviweka tuache kujifanya tunang'ang'ania kurejea maisha ya Adam na Evah kana kwamba tulikuwepo wakati wanatenda hizo
🤔🤔Mwanamke ni binadamu wa kwanza kuonana na shetani ana kwa ana. Kuna mambo mengi Eva aliongea na shetani ambayo wanaune hatuyajui. Tujipange namna ya kuishi nao.
Very disgusting.
Nyie matoto ya kiume mliokuzwa na single mothers mlistahili kuwa wanawake tu, sio kwa chuki hizi mlizonazo dhidi ya jinsi yenu.
Anyway congratulations for winning The "Best simp award"
Our dear JF feminists love this post.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Very disgusting.
Nyie matoto ya kiume mliokuzwa na single mothers mlistahili kuwa wanawake tu, sio kwa chuki hizi mlizonazo dhidi ya jinsi yenu.
Anyway congratulations for winning The "Best simp award"
Our dear JF feminists love this post.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app