Wewe mlevi na mbinafsi kaa kimya.
Hakuna kitu unaweza sema kupindisha ukweli huu...
Mwanamke wa kiafrika ndiyo NGUZO ya jamii ambayo wewe jinga unaishi ndani yake.
Ukweli upi umeongea hapo zaidi ya propaganda za kishenzi ulizomezeshwa na wana harakati uchwara wa haki za wanawake.
Eti
"mwanamke wa kiafrika ndio nguzo ya jamii" halafu
"wanaume wa kiafrika ni walevi na wanabinafsi".. pumbavuu kabisaa.
Bila mwanaume wa kiafrika kufanya sacrifices Leo hii hili taifa lingekuwa huru?
Bila wanaume wa kiafrika kulinda mipaka yetu dhidi ya magaidi leo hii wewe na wanawake wa kiafrika wote kwa ujumla mngeweza hata kusherekea Christmas??
Bila mwanaume wa kiafrika leo hii wewe hapo ungezaliwa!?? Na huyo mama yako angejivunia kuitwa mama bila huyo mwanaume wa kiafrika!? Au wewe mwenzetu ni cracker!?
Leo hii hapo wewe na familia yako mkivamiwa na majambazi usiku, mtu atakayejitokeza kuja kuwasaidia obviously atakuwa ni mwanaume huyo huyo wa kiafrika na sio mwanamke wa kiafrika...matako weww
Asilimia kubwa ya dada zako wa kiafrika wanaoishi kwa kuhongwa, wanahongwa na wanaume wa kiafrika.
Kama kweli mwanaume wa kiafrika akiamua awe mbinafsi kwa mfumo wetu huu wa maisha tulionao, basi jamii yetu itapitia kipindi kigumu sana.
Tatizo la nyie watoto wa kiume mliolelewa na "
bitter single mothers huwa mnamezeshwa chuki kali sana dhidi ya baba zenu, na bahati mbaya zaidi chuki hiyo huwa aishii kwa baba zenu tu, mnajikuta mnawachukia na wanaume wengine wote.
Hivyo Basi, unajikuta unachukia jinsia nzima ya kiume na kuona wanaume hawana thamani na badala yake unaona wanawake pekee ndio watu wenye thamani hapa duniani.... angalia Kama Sasa hivi tayari umesha aminishwa wanaume wa kiafrika hawana lolote zaidi ya ulevi na wanawake ndio nguzo, kitu ambacho ni upuuzi mtupu.
Again congratulations for your single parent for raising one of the most disgusting simps.
Sent from my M100 using
JamiiForums mobile app