Kweli JK Msanii!


A strategy for cheap popularity
 
ampeleke India huyo msanii maana kaugua muda mrefu bila mafanikio/dalili za kupona!
 
Duh! Nadhani tupo kwenye jukwaa la siasa lakini hatujui siasa. Kwanza hapa wote sio wapiga kura. Mpiga kura ndo huyo Vengu. Sasa ukiwa mwanasiasa na kiongozi utamtembelea Vengu au nyie mnaopinga kila kitu humu? Mmejazwa negativity katika kila jambo.

Acheni porojo, JK pekEe yake hawezi kuleta maendeleo humu Tanzania. Na nyie msaidieni sio kupinga tuu.
 

President Jakaya Kikwete visits Joseph Shamba a.k.a "Vengu", a popular comedian with the ZE Original Comedy who has been admitted to the Muhimbili National Hospital for weeks now. The 28-year-old Vengu is renowned for imitating politicians and is one of the founding members of the group. Photo by State House.
​
 
all said and very well put....jamaa ni msanii per excellence!

 
Duuu kumbe kijana anaumwa.
Je atapelekwa India na yeye,??????
Mungu mponye kijana huyu, amjalie nguvu na afya njema.
 
Akatubu walichokuwa wakiagizwa na ccm kuwadhihaki watu atpona
 
Jakaya kaagiza aende st thomas uk wiki ijayo
 
Aisee, dogo anaumwa ee! Hiyo picha inasema mengi. Mungu akuponye Vengu.
 
JK ni msanii sana,mahospital hayana madawa,harafu yeye mguu na njia hospitaly.
 
Jk ni msanii kweli tena wa taarabu, yani kashindwa hata kuutumia huo mda kuukemea ufisadi kaamua kumtembelea huyo msanii au kafikiri ndo atajiongezea umaarufu kupitia yeye
 

Amefanikiwa wapi ? Mbona hatujamuona Tarime wanako uawa kila siku na serikali ya jina la uwekezaji ? Vipi Igumga hadi maiti zinaokotwa ? Watu gani wa kawaida ? Sema ni mpenda kuonekana ana nia njema lakini si mkweli kwenye maisha halisia.Angalikuwa na upendo kwa watu wa kawaida asingaliacha watu wa Dodo majuzi kulala nje wala kuuza Nchi yetu na hao watu wa kawaida wakiwamo .
 
Huyu jamaa alikua anamuigiza Mrema akiwa na makovu makovu. Dunia hii kabla hujafa hujaumbika. Leo ni zamu ya Mrema kwenda kumuona akiwa kwenye hali mbaya.
Anyway Mungu akusaidie upone.
Get well soon kaka.
 
JK anaamkaga anafikaga ofisini asb akiwa hajui cha kufanya, kitakachokuja kichwani ndo anafanya........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…