Kweli inaweza kutokea "kwa bahati mbaya"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli inaweza kutokea "kwa bahati mbaya"?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 1, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Kuna watu ambao wamewahi "kujikuta" kwenye kitendo cha ngono na mtu ambaye baadaye au kesho yake wanajutia kwanini ilitokea hivyo. Na mara nyingi inatokea katika mazingira ya sherehe sherehe hivi. Kisa kimoja ambacho kiliwahi kunishangaza sana na jamaa ambaye alijikuta ametoka na mke wa rafiki yake na kisingizio pekee ni kuwa "walikuwa wamelewa". Na wengine wamekuwa wakitumia maneno kuwa "one thing led to another" wakimaanisha kwamba labda walianza kutaniana, kugusana n.k na mwisho wakajikuta kwenye mazingira tamanishi.

  Hapa inabidi tuhoji:

  a. Je ni kweli suala hilo laweza kweli kutokea kwa bahati mbaya?
  b. Je, majuto yanayofuatia ni ishara kuwa mtu kweli hakuwa amefikiria - na hasa watu ambao wanajikuta kweli wanajutia tendo hilo?
  c. Je, mtu aliyeingia kwenye mazingira hayo tamanishi anaweza kweli kujiamini tena mbele ya yule mtu mwingine - hata kama hakumbuki?
  d. Je kutokea kwa bahati mbaya ni uhalalisho wa kuanzisha "full scale" affair? au kama kweli unajutia usirudie tena? Inakuwaje kwa wale ambao baadaye wanaanza kuwa curious tena?

  Lakini je kuna watu ambao wamewahi kujikuta ile "bahati mbaya" imegeuka kuwa ni bahati "nzuri" ya kuanzisha uhusiano wa kudumu? itakuwaje wale wengine ambao wanatengeneza "bahati mbaya" kwa sababu tu wanajua wanaweza kudai kuwa "walikosea"?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,991
  Trophy Points: 280
  Hamna dhambi yenye maandalizi marefu kama uzinzi. Unaanza kwa kuona, kisha unatongoza, koisha unakataliwa halafu unabembeleza, unaongeza vinywaji na nyama choma nyingi zaidi, maonghezi yananoga, vidole vinapapasa, midomo inakutana, mdudu James anasisimka, unaficha bibi asione. Mnatoka, mnaanza kutafuta gesti. Mnaenda Sinza mnakuta gesti zote zimejaa, mnakimbia, mnafika Ubungo mnakuta kuna foleni kali, mnanza kutafuta short cut, mnaenda Tabata, mnapata chumba, mnapapasana tena, mnanyonyana, mnavua nguo, mnafanyana hadi mnachubuana kama mmejikwangua kwenye makokoto, mnapitiwa na usingizi mzito, mnalala kama mapoepo wachafu.
  Asubuhi kumekucha, unaanza kujipapasa, pembeni unaona condoms mpyaaaaa, ukijicheki mdududu James amechubuka na damu zinamtoka.
  Haya niambie hiyo bahati mbaya hapo iko wapi?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Its a million dollar question....
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh nomaaaaaa
  ila bwana mara nyingi kunakuaga na nia....
   
 5. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo neno!

  Ubarikiwe
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Bujibuji aisee kuna watu hawana maandalizi marefu namna hiyo.... sijui ndio ushetani wenyewe, ukame, au usongo.. wengine wanakuwaga kama wanyama hivi - akili zote 'out'.. ni baada ya tukio ndio wanaanza kujiuliza 'what happened'.
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  akunaga iyo kitu...mshajiandaa ya kutosha ...haina sabbu wala justfcation apo.
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Siamini kabisa kama kuna bahati mbaya duniani.
  Wewe unajua kabisa chombo ukishika vibaya kikateleza na kuvunjika usingizie bahati mbaya hii haipo.
  Unajua fika mapenzi bila kinga unapata mimba au dono au HIV ukipata kwa kuto tumia kinga usingizie bahati mbaya.
  Bahati mbaya hakuna kabisa ila neno hili linatumika kuficha uzembe.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...labda tu alikuwa ameleweshwa saana kiasi cha kushindwa kujitambua maamuzi yake,
  otherwise, huu utetezi kwamba ooohhh, "ni viumbe dhaifu..!" hapana kaka.
   
 10. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kufanya Ngono/Uzinzi hakuna bahati mbaya,bahati mbaya ni kwa yule akiyebakwa tu,siyo kwa watu mliyokubaliana,----Ulitizama kwa macho,ukatamani kwa moyo,ubongo ukachekecha-kisha ukatamka kwa mdomo,ukampapasa kwa mikono ,ukmbusu( nyonya) kwa ulimi ukapanga mkutane wapi na saa ngapi,------------------------------------------Bado unasema ni Bahati Mbaya? Hakuna Bahati mbaya hapo.
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,177
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280

  Bujibuji siongezi neno hapo maana umemaliza yote
  yaani umesema kwa uhakika kile halisi kilichopo
   
 12. b

  bpouz Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  napita tu mjomba
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Anayejiuliza 'what happened?' huwa ni kichwa numero uno wakati kichwa namba mbili kishajilalia zake kwenye kufuli kama vile hamnazo.Kila siku nasemaga humu mmu,tatizo letu ni kuwa wanaume tuna vichwa viwili,kimoja kikiwa 'on' kingine kinakuwa offline.
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ngono ni miili miwili kuingiliana,nyie huwa hamjiandai?
   
 15. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Hasa wale wanaotembea na mabinti zao wa kazi (house girl) au member yeyote wa ndani ya familia (ndugu wa wife au...). kisa mama watoto kasafiri, unakuja usiku umelewa unafunguliwa mlango na binti mbichi ndani ya shimiz!, matokeo yake ghafla unachombeza, kumbe binti naye alikua wa ki-tanga au mzaramo!, unaenda nae chumbani kwa mama watoto!, aisee!
   
 16. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,659
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Bishanga, nimeipenda hiyo!!!
   
 17. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Utafiti wa hili jambo ndio unaweza kutoa jibu sahihi. Kama ni kweli, basi sio ajabu kichwa kilichokua ''offline'' kikiwa ''on'' kikalaani yaliyotokea na hivyo kwa upande huo itakua ni KWELI KUNA BAHATI MBAYA HAPO.
   
 18. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakunaga bahati mbaya kwenye kupeana raha
   
 19. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ni uongo mlishatamaniana siku nyingi tu ndo maana mkaweza kudo
  halafu tabia ya kusingizia pombe siipendi kama nn
  utakuta mtu anatukana halafu ukimuuliza kwann ulikua unafanya eti nililewa, unakusudia dhambi halafu unasingizia pombe
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Kwenye pombe kuna 'bahati' mbaya....
   
Loading...