Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Je alicho ongea hakina mantiki?Pole Pole ndio msemaji rasmi wa Sukuma gang kwa sasa.
Analipwa kwa ile kazi, na Msoga gang wakimpa dau kubwa zaidi anageuka tena. Ni dalali fulani wa kuuza siasa kwa maneno, sio mtu wa kumshabikia sana au kumwamini sana.
Pole Pole hana tofauti yoyote na Haji Manara, kazi yao ni kuongea kwa niaba ya taasisi zinazowalipa.
Je hii tanzania ni ya kuomba omba miaka sitini tumepata uhuru huku taabu ni zetu kila kukicha ni bora ya jana je ni sawa?
Polepole anaweza asiwe na uzito wa kuyasimamia mambo yake na je wewe uliye yapokea hutaki kuyaelewa na kuyafanyia kazi?
Tanzania lini mtaamuka?
Enzi ya kikwete ilishapita na ya magufuli imepita sasa twende mbele zaidi kuliko hao wote ili nchi ipae na kurudisha hadhi yake na sio kurudi nyuma.