Kweli humaanisha?

Kweli humaanisha?

Aquous

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
292
Reaction score
86
Nauliza mwenzenu pale mwanaume anapoomba msamaha mpaka machozi yanatoka huwa mnamaanisha au maigizo tu.

Nimewahi kushuhudia mara nyingi katika situation tofauti,my hubby once sasa jana shemeji yangu(hubby of my friend) alikuwa akimwomba msamaha mke wake mpaka analia kama amefiwa khaa!

Naombeni uzoefu hapa ni maigizo au kweli anakuwa anajutia ndio mpaka machozi?
 
Sanaa hizo...wanawake wanalainika sana hapo.
 
^^
Usimwache mwanaume anaetoa chozi kwa ajili yako, Kosa hilo halina tofauti na la mwanaume kuchoma nguo za mkewe
^^
 
imani huponya!kama unaamini wanalia toka moyoni endelea kuamini hivyo ili mapenzi yenu yadumu!
 
fanya analysis pale mwanaume anapokuwa amefiwa na mpendwa wake, yani mtu wake wa karibu...

maumivu ya kugugumia ndio maumivu yanayoumiza na ndio maumivu haswaa yanayotoka moyoni...

Hicho ndicho kilio halisi cha mwanaume... kugugumia, sio kutoa makelele!

A man was created to cry in a silent mode.
 
wanaume wasanii jamani....hapo utasema kamaanisha kumbe.....akitoka hapo anaenda kushushia kabia vimachiz alivyotoa
 
mmmh mimi najua mwanaume anagugumia tuuu
 
nauliza mwenzenu pale mwanaume anapoomba msamaha mpaka machozi yanatoka huwa mnamaanisha au maigizo tu.
nimewahi kushuhudia mara nyingi katika situation tofauti,my hubby once sasa jana shemeji yangu(hubby of my friend) alikuwa akimwomba msamaha mke wake mpaka analia kama amefiwa khaa!
naombeni uzoefu hapa ni maigizo au kweli anakuwa anajutia ndio mpaka machozi?
Tunajuwa huwa hamuwezi kuhimili mkiona mwanaume anatoa chozi... And we use the weakness... Yaani hata kama unajuwa kuwa ni maigizo, you cant resist.. this is how you are.. ndivyo mlivyoumbwa
 
fanya analysis pale mwanaume anapokuwa amefiwa na mpendwa wake, yani mtu wake wa karibu...

maumivu ya kugugumia ndio maumivu yanayoumiza na ndio maumivu haswaa yanayotoka moyoni...

Hicho ndicho kilio halisi cha mwanaume... kugugumia, sio kutoa makelele!

A man was created to cry in a silent mode.

hahahaha silent mode lol
 
mwanaume wa kulia aisee mimi siwezi kanikosea nampa masharti tu atimize akiweza namsamehe akishindwa na mpa adhabu nyingine kali zaidi ya kuprovide eco..........ly
 
Analia kwako machozi akitoka hapo anaenda kumlilia mwanamke mwingine na magoti anapiga.achana na mwanaume akitaka cha uvunguni
 
mmmh mimi najua mwanaume anagugumia tuuu

mwanaume wa kulia aisee mimi siwezi kanikosea nampa masharti tu atimize akiweza namsamehe akishindwa na mpa adhabu nyingine kali zaidi ya kuprovide eco..........ly
images
images
 
Back
Top Bottom