Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,913
- 13,232
Nimeangalia hii picha nimeitafakari bado sijapata jibu.
Si kweli, huyo dada hapo ni mlinzi wa rais!!cocktail party. namuona bi kiroboto (dr tulia) akiwa pembeni ya makufuri.
nilidhani ni bi kiroboto (dr tulia)....anafanana naye sana, hasa huo msuko wa nywele....TWENDE KILIONI.Si kweli, huyo dada hapo ni mlinzi wa rais!!
Anasubiri zanu yake achukue sambusacocktail party. namuona bi kiroboto (dr tulia) akiwa pembeni ya makufuri.