Ungekuwa unayatendea kazi maneno yako basi ungekuwa na akili ya kumchagua mgombea bora na sio mwana sarakasi
tunasubiri walau nae mgombea wa ukawa ajibu mapigo kwa kupiga sarakasi walau mbili tu
Mpuuzi ni yule asiyejua kuoanisha matukio na hali halisi.Kuruka kwenye gari ni ishara ya kutake action haraka!!! Hiyo ndiyo messagesitasema sana maana kama tafsiri ndogo kama hiyo imekushinda sijui mengineitakuwaje???
Of course majority ya mafisadi wakoupande wako sasa mafisadiwako asilimia ngapi Tanzania. Fanya hesabu za asilimia uje ulete jibu hapa.SISI ( majority) hatuna wasiwasi tunangojea tu tarehe 25 October 2015, Jembea.k.a Tingatinga lianze kazi liwanyooshe wazembe!
Mtu anakuuliza kati ya X na Y hujui kabisa background yao. Xalikuwa kwenye gari ya wazi na anakabiliwa na mikutano kadhaa askari amechelewakufungua mlango kwa dakika kadhaa. X katokea juu kama komandoo na kuanzakuhutubia. Na Y askari kachelewa dakika 30, yuko tu anashangaaa ndani ya garihajui kinachoendelea anasubiri askari afungue mlango. Askari anamfungulia Y anatokamlinzi anamwambia muda wa kampeni umeisha Mzee. Je kati ya X na Y utamchaguanani???? Sasa kila tukio jaribu kulilinganisha na yaya sawa Jimena????
Duuuh nimecheka sana yani mbwembwe nyingine mtu unaonekana chizi ss
Tusipo angalia tutachagua machizi mwaka huu yaani napata picha kwamba ndio rais alafu kaalikwa nchi jiran alafu kuna kamsongamano ka watu rais wa TZ anaruka juu ya roof ya gari kwakwel hizi sifa zakijinga sana ndio maana mkewe hampi ushirikiano sababu anaogopa kuchuma fedhea kwenye umati wa watu lol hili zigo hat are
Viva lowasa ....,.Viva ukawa
si ajabu hata ikulu akawa anaruka madirishani! kama akiwa wazir mkuu.. maana urais hapati!
The poorest reply ever
Pamoja na hayo yote, CCM kiulaini madarakani kwa mara nyingine tenaMachizi katika ubora wao
HARUFU hii reply ni yako kweli?