Kweli chama kimepata mgombea

Kweli chama kimepata mgombea

Kiongozi ujue kwanini?

Hao jamaa kuwaondoa hata kwa reki haiwezekani.

Hapa kama tunaangalia mpira ambao umeshachezwa tayari, kitu sio moja kwa moja.

Na cha nyongeza Wanasiasa wetu wapo kimaslahi zaidi, mimi nimewashusha thamani UKAWA kwa kitendo cha kurubuniwa kwa pesa na kumpokea Lowasa.

Je Lowasa kama asingetupwa kwenye kinyang'anyiro, na angefanikiwa kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM unafikiri angekimbilia UKAWA?

Na je kama angekuwa Mzalendo wa kweli si angebaki hukohuko CCM!

Kwanini akimbilie UKAWA?

Imeonesha kwa kiasi kikubwa yupo kimaslahi zaidi.

UKAWA ningewakubali na kuwaona wanajeshi kama wangeonesha msimamo, na kutompokea Lowasa.

Mimi ndio maana Siasa hainiumizi kichwa hata kidogo, mradi Ugali wangu na familia yangu unapatikana basi nashukuru sana.

Siwezi kujiumiza kichwa kwa ajili ya maslahi ya watu kadhaa, hapana

Haya kaka haya tuyaache kama yalivyo.... Life goes on...!!!!
 
Shit! Shit! Sasa tatizo lipo wapi hapo? Badala ya kusifia uhimara wake wa afya ninyi mnaponda?
Mbona nabii Musa na baadhi ya manabii walikua wanaambatana na askri wao kwenye viwanja vya mapambano kupigana dhidi ya maadui zao?

Naomba kujua kiwango chako cha elimu please!
 
Huyu Mzee atakuwa anatumia yale majani ya kondeni sio bure
 
Back
Top Bottom