Kweli chama kimepata mgombea

Kweli chama kimepata mgombea

Lazima akivyotua chini alitoa kagesi ka Mtwara kichele.
 
tunasubiri walau nae mgombea wa ukawa ajibu mapigo kwa kupiga sarakasi walau mbili tu

Sarakasi ndo itakulipia elimu na kukuletea dawa hospitalini?..nyie ni wale mkiwa wachanga mliangushwa ubongo ukacheza..akili haiko sawa..
 
teh teh hii ni kutokana na kuexperience kuzomewa mara kadhaa sasa hapa akawa anajichanganya eti naye anaonekane msela..
HAWAKUMSACHI KWELI? hahaha
RAIS NI LOWASSA
VIVA UKAWA!!!
 
Kutokea kwenye roof-let badala ya mlangoni ni kujidhalilisha na kuidhalilisha taaluma na kuleta uharibifu kwenye chombo kilichonunuliwa kwa gharama kubwa

Hivyo ni unavyofikiria wewe, acha jazba subiri kupiga kura. Tatizo la watu wa ukawa hakuna atakachosema ama kufanya Magufuli au mgombea mwingine yoyote mtakachoona sawa mnatafuta negativity in everything. Ni vizuri kuwa mchambuzi kuliko mshabiki maana unashindwa kuona mengi. Pole sana ndugu.
 
Hilo ni kosa kulingana na sheria za usalama barabarani halafu huyo trafiki anakodoa macho tu.
 
Ukishindana na mwendawazimu.... Wewe ndio utaonekana chizi kabisa

Kwani kuna shida gani mgombea urais kuonyesha mbwembwe? Mbona lowasa alilipita jukwaa kama kakata network lakini ccm hawakumsema vibaya? Tuvumiliane jamani rais wenu mbona alijisaidia mkuu atujapiga kelele?
 
tunasubiri walau nae mgombea wa ukawa ajibu mapigo kwa kupiga sarakasi walau mbili tu

Ndo maana twawezeshwa wamesema magufuli anapendwa na wazee na wasio soma...ww nahisi utakuwa hujasoma, hivi kwa akili yako jirani yako akitembea uchi na ww kesho yake utamjibu kwa kunya barabarani??....makomeo ni chizi plus....
 
Hivyo ni unavyofikiria wewe, acha jazba subiri kupiga kura. Tatizo la watu wa ukawa hakuna atakachosema ama kufanya Magufuli au mgombea mwingine yoyote mtakachoona sawa mnatafuta negativity in everything. Ni vizuri kuwa mchambuzi kuliko mshabiki maana unashindwa kuona mengi. Pole sana ndugu.

Kwani kuna shida gani mgombea urais kuonyesha mbwembwe? Mbona lowasa alilipita jukwaa kama kakata network lakini ccm hawakumsema vibaya? Tuvumiliane jamani rais wenu mbona alijisaidia mkuu atujapiga kelele?

Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko mpumbavu katika upumbavu wake
 
Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko mpumbavu katika upumbavu wake

Ukiitwa wewe pumbavu, ooh wametuita watanzania wapumbavu. Wewe ulipofika upeo wako umefika kikomo. Nishakwambia acha kelele nguvu uliyo nayo ni hiyo kadi yako ya kura tena kama hata unayo humu kupiga debe utapata ugonjwa wa moyo. Una jazba sana. Punguza kidogo.
 
mshana jr umenichekesha Sana duu
Bujibuji usishangae siku jamaa akaingia kwenye uwanja wa Kampeni namna hii kama huyu 1443676119725.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ukiitwa wewe pumbavu, ooh wametuita watanzania wapumbavu. Wewe ulipofika upeo wako umefika kikomo. Nishakwambia acha kelele nguvu uliyo nayo ni hiyo kadi yako ya kura tena kama hata unayo humu kupiga debe utapata ugonjwa wa moyo. Una jazba sana. Punguza kidogo.

Tofautisha kisha fananisha 1443677864008.jpg 1443677884767.jpg mmoja ni mlalahoi anawahi siti Kwasasa ya shida ya usafiri wa pili ni mgombea urais anachoropokea darini mwa gari anawahi nini???
 
Kutokea kwenye roof-let badala ya mlangoni ni kujidhalilisha na kuidhalilisha taaluma na kuleta uharibifu kwenye chombo kilichonunuliwa kwa gharama kubwa

ila kupanda daladala na kunywa uji mtaani ni kupandisha chati duuhh ndo shida ya bavicha kujitoa ufahamu kama hivi
 
ila kupanda daladala na kunywa uji mtaani ni kupandisha chati duuhh ndo shida ya bavicha kujitoa ufahamu kama hivi

Hapo cha ajabu ni kipi? Hayo ni maisha ya watu... Hebu niambie ni wangapi huwa wanachoropoka kwenye dari za magari as if hakuna milango au kuna dharura? Jiongeze dogo
 
Hapo cha ajabu ni kipi? Hayo ni maisha ya watu... Hebu niambie ni wangapi huwa wanachoropoka kwenye dari za magari as if hakuna milango au kuna dharura? Jiongeze dogo

kwakuniita dogo tu umeshajitambulisha ulivyo mkurupukaji.. mbona wenu alipojinyea hukusema?? au nalo pozi la siasa
 
Tofautisha kisha fananishaView attachment 293287View attachment 293289mmoja ni mlalahoi anawahi siti Kwasasa ya shida ya usafiri wa pili ni mgombea urais anachoropokea darini mwa gari anawahi nini???
Sasa sisi waTanzania ndio tunamtaka rais wa namna hii!!! yuko tayari kwa jambo lolote na wakati wowote! sio kuzubaazubaa! Huyu kama htatari inatoikea anaweza jihami yeye mwenyewe hategemei walinzi 100% kwa Tanzania ilipofika hatakiwi Raisi wa kusinziasinzia a.k.a Mdebwedo no! Tunataka mtu sharp physically and mentally! And Magufuli is the one! Nikukumbushe , hebu tafuta picha ye Rais Mstaafu wa Ghana alivyoingia mtaroni kushuhudia what was wrong na inakuwaje watendaji wanashindwa tatua!?!? Ndio tunamtaka Rais wa Caliblre hii!
 
Back
Top Bottom