Yaani akili alioonyesha magufuli hapa ya kiduanzi kweli hahahahaha sijui tutakuwa na raisi wa namna gani mungu tusaidie na huu mzigo usiouzika
Yaani akili alioonyesha magufuli hapa ya kiduanzi kweli hahahahaha sijui tutakuwa na raisi wa namna gani mungu tusaidie na huu mzigo usiouzika
Maandiko yako tu umeshakiri kuwa Magufuli ndiyo rais.
hakuna zaidi ya magufuli
Dada, wameshakubali matokeo! Walitukana taasisi za kitafiti wee lakini wameona mwisho. Na ule uzushi wa jana ndiyo wamewavunja moyo wale wachache wenye chembe ya intelligence waliojua Lowassa kuhamia ilikuwa strategic move. Sasa wameona hakuna anayehama wala nini. They are stuck na Lowassa, Mgeja na Masha. Bunch of loosers.
Sasa wamebaki na uzushi tu na kubwabwaja.
Very sad kuangalia jinsi chama chenye potential kama Chadema ikipotea taratibu!
Dah, MAGUFULI HAJIELEWI. Tunatafuta Rais siyo mwanasarakasi! Zigo hili haliuziki!!
Maandiko yako tu umeshakiri kuwa Magufuli ndiyo rais.