Kweli Chadema Ndio Inaongoza Serekali

Wabunge kama kina John Komba types wanaweza kusoma muswaada wakaelewa na kuchangia? tena kumbuka umeandikwa kimombo kibovu. Wengi wapo wapo pale kushangilia kila kitu hata kama ni cha kupuuzi ili mradi kimeletwa na CCM tu.

Kaka yangu John alifikiri Bunge ni sehemu ya kutungia nyimbo za kampeni. Tuna safari ndefu na wabunge wetu wasioelewa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi wao wanaingia bungeni kuiwakilisha CCM na kudumisha fikra potofu za viongozi wa chama chao.
 
kwani JK hawezi kumuita ikulu DR kwa ajili ya kuomba ushauri! HIII NI KWA NCHI YETU WAKUU. AU NDO YALE KUOMBA USHAURI PIA NI AKILI!
kikwete ana akili ya kupromote wanawake tu.
 
Kukubali kuurudisha muswada kwa wananchi ni maoni ya CDM na wadau wake.Hakuna mbunge wa ccm anaweza kusimama (labda Sita na Mwakyembe) na kuthubutu kuupinga japo wanajua ni upuuzi mtupu umejaa humo.Madudu haya yanatuonyesha jinsi serikali ya ccm isivyo makini,watu wanotegemewa wamekaa na kupewa posho wakaandika upumbavu na bila aibu wakauleta hadharani.Wakati wakupelekwapelekwa umeisha.Watanzania hasa vijana angalieni sana makaburi yetu yatachapwa bakora na wajukuu zetu kwa kukubali taifa kuburuzwa.Vijana tuamshane ccm 2015 iondoke wanaume na wanawake waukweli CHADEMA tuonyeshe jinsi ya kuongoza nchi.
 
ccm haina nia ya katiba mpya. Hii yakurishwa kwa mswaada ndiyo wanataka. Sasa itakuwa muda kupata katiba mpya.
 
Jamani hawa CCM wenyewe washasema wanamagamba sasa me siwashangai kwa kushangilia kama wehu,hivyo huu ni ushindi mwingine kwetu kama CDM chama kikuu kinachoongoza Tanzania bila kuwa Ikulu wala wizarani wala kuwa na majeshi wala mgambo,hii ni kiashirio tosha tukichukua nchi hakuna kitakachoshindikana.Hongera na pongezi nyingi kwa Raisi wetu tulieyemchagua Dr.Wilbroad Peter Slaa,kura na imani yetu tuliyokupa kumbe hatukufanya makosa najua mjomba sasa jumba jeupe analiona chungu.............:rip:CCM.
 
Unajua kupiga makofi kwa uamuzi ambao haukuutolea jasho kuupigania ni dalili ya kuonyesha "Kutindikiwa Ubongo" that's 100 % insanity. Pipoooooozz Poweeeeerrr imechukua mkondo, naona JK ameogopa maandamano tuliyoitisha kuupinga muswada huo.
 
Jamani t doz nt need multitude to lead da country,jst a small group of dedicated people z enough...chadema alone is enough to lead our nation to a better place....god bless chadema god bless tanzania..
 
Mtu akikuuzia sub-standard products anapongezwa? Nilitegemea wangemshauri Mh. Kikwete ambadishe Waziri aliyeleta Mswada huu ambao umeidhalilisha Serikali yake mbele ya umma wa wananchi na si kupongeza.

tena na leo asubuhi mawaziri na watu wa ccm walikuwa wanautetea kwa nguvu zao zote.people's power.
 
Hii nadhani ni kama tusi kwa JK,kwamba ingawa wabunge wa ccm hawakuupinga hadharani,ndani ya mioyo yao walikuwa hawa ukubali kwa sababu ya uhuru 0 wa kujieleza kwa wabunge wa ccm!

Kwao kujieleza ni kupiga makofi na kusema ndio mzee
 
Jamani t doz nt need multitude to lead da country,jst a small group of dedicated people z enough...chadema alone is enough to lead our nation to a better place....god bless chadema god bless tanzania..

Craaaaaaaaap!
Huu usharobaro wa kuandika vifupisho ndo nini sasa?
 
kazi kweli kweli... kuna mbunge kijana kabisa wa huko nzega kaendeleza wimbi la mipasho bungeni, alichonishangaza zaidi ni kuomba madiwani nao wapewe mikopo ya usafiri kama wao wabunge
 
Chadema kila tubaposema watatekeleza tu hatujalishwi na wingi wa wabunge wa ccm.Maandamano kupinga bei ya vitu wakashusha wenyewe.Mandamano ya kuupinga mswaada wa kuunda katiba kwa kuwasilisha Bungeni kwa hati ya Dharura wamekubali,teh teh teh VIVA CHADEMA ndio tunaongoza nchi Ila ccm hawataki tu kukubaliana na ukweli maana magamba yenyewe wanavuana sbb ya Chadema.
 
Waziri wa Sheria Selina Kombani yapo wapi maneno yako ya kutaka uabudiwe Kama mfalme!!?,shauri yako angalia utapewa kazi ya kuimba taarabu maana huna unachoweza kukisema kikawa maana kwa wananchi wako.Mwanasheria mkuu wa Serikali anafanya nini ktk madaraka kwa kumshauri raisi vibaya!!?,Mwalimu Nyerere alisema alietoa na kupokea rushwa wote wanamakosa sasa Jk nae anafanya nini alipopokea ushauri kandamizi juu ya wananchi!?Na mjichunge Kama hili mtajitetea kuwa mlikosea angalieni na huo mtakaouleta!!
 
nafikiri pia baada ya wazenji kuchana katiba... wakaona bora .........
 
Maybe they are good in challenging the winners as they do not qualify to win the presidency.
If they win then the winners will have no challenge resulting to underdevelopment. In fact this is the farthest Chadema can go...
 
Back
Top Bottom