Na kumblock juu........*****.......
Umeona eee.....yaaan mimi nikae kumbembeleza bembeleza kisa nini? Dudu tuu au? Upo sawa kabisa mamie ni kupiga na blok juu afu unalala zako
Na kumblock juu........*****.......
Hii kali imenifanya nicheke sana. I do agree with you by 100%BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU
MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii ngrii kama
sita, jamaa
ndo anapokea simu.
Hata baada ya kupokea, jamaa
haongei neno
hata la HALOO. Manzi inabidi
alianzishe.
MANZI: Hey Frank, mambo.
LI-FRANK: Poa.
MANZI: Mbona hupokei simu
jamani.
LI-FRANK: Hii imejipokea, au?
MANZI: Hee yaishe basi. Mbona
kimya sana
siku hizi.
LI-FRANK: Unataka nimpigie nani
makelele.
MANZI: Mbona unanijibu hîvyo
Frankie.
LI-FRANK: Kukujibuje.
MANZI: Hivyo kifupi na majibu ya
chooni.
LI-FRANK: Unataka nikujibuje sasa
kama jibu la
swali lako ni hilo.
MANZI: Kwa hiyo hilo ndo jibu la
swali langu.
LI-FRANK: Ndo màana yake. Kama
unataka
majibu marefu na yenye maelezo,
nenda
kapime UKIMWI kisha ombea uwe
nao. Hapo
utapata majibu uyatakayo na
maelezo mengi
tu.
Manzi anakaa kimya kama dakika
1 hivi.
Anashusha pumzi ndefu ya
kuchoka au kukata
tamaa tuseme.
MANZI: Hivi Frank nimekukosea
nini?
LI-FRANK: Kunipigia simu.
MANZI: (huku kama anataka kulia)
Jamaniii.
LI-FRANK: Nyo nyo nyooo. Msyuuu.
Manzi anasikika anavuta vikamasi
ila hakati
simu.
LI-FRANK: Unakunywa supu.
MANZI: (Huku akiwa na sauti ya
kilio). Hivi
Frank kweli umebadilika hivi?
LI-FRANK: Kwa hiyo unanitukana.
Nimekuwa
Zombie mimi, au mzimu.
Unanitukana Marry, si
ndio eeh.
MANZI: Hapana si hivyo.
LI-FRANK: Ila.
MANZI: Basi nisamehe.
LI-FRANK: Umepiga simu ili iweje.
MANZI: Leo ni siku yako ya
kuzaliwa Frank.
LI-FRANK: Kwa hiyo.
MANZI: Happy Birthday.
LI-FRANK: Kingine.
MANZI: Nakupenda Frank.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: (Akiwa kakata tamaa juu
ya Frank).
Nimekumiss pia, naomba urudi
uwe nami.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: Ndio.
LI-FRANK: Haya kata simu.
MANZI: Frank please. Usinifanyie
hivyo jamani.
LI-FRANK: Sibadili neno, kata
simu.
MANZI: Ok. Aaah! Poa, asante
Frank.
Simu inakatwa.
Baada ya dakika kumi, simu ya
Manzi inaita.
Kucheki, ni Frank. Hata sekunde haiishi
inapokelewa.
FRANK: Umekasirika?
MANZI: Hapana, ila nimeumia.
FRANK: Chungulia dirishani.
Manzi ananyanyuka na kufungua
mapazia ya
dirisha laké. Uso kwa uso na
tabasamu la Frank
pale dirishani.
FRANK: Naamini utadumu na mimi
maishani
mwangumwote. Kama umeweza
kuvumilîa haya
madogo, na kuficha hisia zako
kuwa
hujakasirika, naamin utavumilia
na makubwa
na kuficha ya ndani. I miss you
too, Marry. Ni
wewe pekee uliyenitakia siku
yangu ya
kuzaliwa. Ukiwatoa dada na mama
yangu,
wewe ndiye mwanamke pekee
nitakae kuelewa.
Unajua Marry alikuwaje?
Nisikumalizie uhondo.
Jaribu na wewe kufata njia ya LI-
FRANK uone
kama Manzi wako atakuwaje.
TEHE.
Angalizo
Usijaribu hiyo Kibongobongo hata kama unatania utachwa kabisa
Mtakuja kufaa kwenye vifua vya wadada kwa kujitutumua! :lol:. Lisaa zima utapampu mpaka damu, ndo mwishow unakuta mtu anakojoa upepo tuuuu, akitoka hapo mbupu zimebakia ngoziii tupu jinsi zilivo empty. Mtu anapiga pipe mpaka unahisi umechomekwa kijinga cha moto huko down ndo unajichochea sasa. Ukitoka hapo unajipulizia fire extinguishe kwanza afu unajitanua kwenye feni manake kazi haikuw ndogo utakuta mpaka kizazi kimesokomezwa ndani hukoo! Mnataka kutuua nini bandugu?:lol:
MWANAUME RIJALI NI YULE ANAEHUDUMIA, YUKO HUMBLE, MSTAARABU, ANAJUA MWANAMKE NI NINI, NA AMILIKIWE VIPI? ASHIKWE WAPI, ASUGULIWE MDA GANI BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSS! MNABISHA NINI?
Ukilala na mwanaume unaempenda kimvuto, ushafika kileleni 20%
Huyohuyo akiwa ana kauchumi kidogo ka security chances za kilele ni 40%
Huyohuyo awe mstaarabu, ana character, na anakufurahisha hapo tutacheza 60%
Ukute huyohuyo anakupenda kafa kaoza, na kukuthamini basi hapo inakuwa 80% ndo mabusu ushalowa mdaaa :lol:
Afu ndo swala la dushe nalo ni 20% tufike 100%.
Ila dushe peke hio vya juu havipo = FAKEROOO ORGASM.
Nashangaa kwani kifanyio anacho peke yake
zamaniiiii ndo nlikuwa nayaweza hayo saaana but sahiv ikiiita hupokei halafu missed call ukiiiona ukachuna. looo baada ya week ukipiga simple tuu
halooo nani mwenzangu? mimi deo mmmh wawapi jaman
Tunatambua skuizi mapenzi ya kwel yalikufa na Nyerere 1999
Labda Li-Frank linatoa kigari Cheupe.... Hebu msome mwenzio hapa alivyotiririka.
From: https://www.jamiiforums.com/mahusia...aume-rijali-soma-ili-ujue-upo-kundi-gani.html
Kwenye mahusiano yoyote yale uvumilivu ni kitu cha maana sana
Wada waskuiz hawana ilo ukitaka kujua we muahidi kitu flan utafanya kesho alafu kesho jidai kesho baby leo nlitingwa ndo utajua unapendwa kweli au we upoupo tui
hakuna madem wa aina hii bongo. hawa wako sayari nyingine kabisa. chezea bongo wewe!
Wadada wa hivo wapo sana hata ukatae vipi. Mfano mzuri huyo manzi..
Huyo dada mvumilivu.....mimi nikipiga simu. Asipopokea nafuta namba afu sitaki mazoeaaaa
Duuh,hata uvumilivu kidogo huna?
Itakua hujamuweka kwa moyo.... ila kwa phonebookHuyo dada mvumilivu.....mimi nikipiga simu. Asipopokea nafuta namba afu sitaki mazoeaaaa