Kweli Bongo hamna mdada wa hivi hata wajiteteeje

Kweli Bongo hamna mdada wa hivi hata wajiteteeje

zamaniiiii ndo nlikuwa nayaweza hayo saaana but sahiv ikiiita hupokei halafu missed call ukiiiona ukachuna. looo baada ya week ukipiga simple tuu
halooo nani mwenzangu? mimi deo mmmh wawapi jaman
 
Bila kujali nini kimemfanya asipokee? Utaacha wengi!

No sio kwa mara moja, nikipiga mfululuzo mara zaidi ya tatu hajapokea huwa nafuta namba ili kama vipi anitafute mwenyew asiponitafuta ndo nitoleee iyo
 
zamaniiiii ndo nlikuwa nayaweza hayo saaana but sahiv ikiiita hupokei halafu missed call ukiiiona ukachuna. looo baada ya week ukipiga simple tuu
halooo nani mwenzangu? mimi deo mmmh wawapi jaman

Mh na kweli mapenz yamebadili sura nakumbuka zaman wanaume tulikua na msimamo sana ila skuizi inayoongoza kupiga magoti na kulia ni mijanadume hahhah
 
Mh na kweli mapenz yamebadili sura nakumbuka zaman wanaume tulikua na msimamo sana ila skuizi inayoongoza kupiga magoti na kulia ni mijanadume hahhah



njikute tu nabembeleza mtu mapenzi haya ya enzi za diamond anayependa wanawakw wanaojiweza ili asianze kununua meza , stuli ,klitanda loooo
 
njikute tu nabembeleza mtu mapenzi haya ya enzi za diamond anayependa wanawakw wanaojiweza ili asianze kununua meza , stuli ,klitanda loooo

Kwa io we mtazamo wako ni kwamba Daimond hajiwezi ndo maana akatafuta anaejiweza au? Alafu pia inaweza ikawa Daimond kapendwa hajapenda.
 
BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU

MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii ngrii kama
sita, jamaa
ndo anapokea simu.
Hata baada ya kupokea, jamaa
haongei neno
hata la HALOO. Manzi inabidi
alianzishe.
MANZI: Hey Frank, mambo.
LI-FRANK: Poa.
MANZI: Mbona hupokei simu
jamani.
LI-FRANK: Hii imejipokea, au?
MANZI: Hee yaishe basi. Mbona
kimya sana
siku hizi.
LI-FRANK: Unataka nimpigie nani
makelele.
MANZI: Mbona unanijibu hîvyo
Frankie.
LI-FRANK: Kukujibuje.
MANZI: Hivyo kifupi na majibu ya
chooni.
LI-FRANK: Unataka nikujibuje sasa
kama jibu la
swali lako ni hilo.
MANZI: Kwa hiyo hilo ndo jibu la
swali langu.
LI-FRANK: Ndo màana yake. Kama
unataka
majibu marefu na yenye maelezo,
nenda
kapime UKIMWI kisha ombea uwe
nao. Hapo
utapata majibu uyatakayo na
maelezo mengi
tu.
Manzi anakaa kimya kama dakika
1 hivi.
Anashusha pumzi ndefu ya
kuchoka au kukata
tamaa tuseme.
MANZI: Hivi Frank nimekukosea
nini?
LI-FRANK: Kunipigia simu.
MANZI: (huku kama anataka kulia)
Jamaniii.
LI-FRANK: Nyo nyo nyooo. Msyuuu.
Manzi anasikika anavuta vikamasi
ila hakati
simu.
LI-FRANK: Unakunywa supu.
MANZI: (Huku akiwa na sauti ya
kilio). Hivi
Frank kweli umebadilika hivi?
LI-FRANK: Kwa hiyo unanitukana.
Nimekuwa
Zombie mimi, au mzimu.
Unanitukana Marry, si
ndio eeh.
MANZI: Hapana si hivyo.
LI-FRANK: Ila.
MANZI: Basi nisamehe.
LI-FRANK: Umepiga simu ili iweje.
MANZI: Leo ni siku yako ya
kuzaliwa Frank.
LI-FRANK: Kwa hiyo.
MANZI: Happy Birthday.
LI-FRANK: Kingine.
MANZI: Nakupenda Frank.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: (Akiwa kakata tamaa juu
ya Frank).
Nimekumiss pia, naomba urudi
uwe nami.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: Ndio.
LI-FRANK: Haya kata simu.
MANZI: Frank please. Usinifanyie
hivyo jamani.
LI-FRANK: Sibadili neno, kata
simu.
MANZI: Ok. Aaah! Poa, asante
Frank.
Simu inakatwa.
Baada ya dakika kumi, simu ya
Manzi inaita.
Kucheki, ni Frank. Hata sekunde haiishi
inapokelewa.
FRANK: Umekasirika?
MANZI: Hapana, ila nimeumia.
FRANK: Chungulia dirishani.
Manzi ananyanyuka na kufungua
mapazia ya
dirisha laké. Uso kwa uso na
tabasamu la Frank
pale dirishani.
FRANK: Naamini utadumu na mimi
maishani
mwangumwote. Kama umeweza
kuvumilîa haya
madogo, na kuficha hisia zako
kuwa
hujakasirika, naamin utavumilia
na makubwa
na kuficha ya ndani. I miss you
too, Marry. Ni
wewe pekee uliyenitakia siku
yangu ya
kuzaliwa. Ukiwatoa dada na mama
yangu,
wewe ndiye mwanamke pekee
nitakae kuelewa.
Unajua Marry alikuwaje?
Nisikumalizie uhondo.
Jaribu na wewe kufata njia ya LI-
FRANK uone
kama Manzi wako atakuwaje.
TEHE.
Angalizo

Usijaribu hiyo Kibongobongo hata kama unatania utachwa kabisa

kudadeki Mara zote hizo sita nampigia yeye tu mxiewww
 
Ningekata simu sikunyingiiii, na kuingia chumbani najifunika shuka nalala na simu naweka silence. hata nisingejua hata kama alikua hapo dirishani. Sema tatizo badae nikiamka nitamsikiliza tu na maisha yangeendelea
 
BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU

MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii ngrii kama
sita, jamaa
ndo anapokea simu.
Hata baada ya kupokea, jamaa
haongei neno
hata la HALOO. Manzi inabidi
alianzishe.
MANZI: Hey Frank, mambo.
LI-FRANK: Poa.
MANZI: Mbona hupokei simu
jamani.
LI-FRANK: Hii imejipokea, au?
MANZI: Hee yaishe basi. Mbona
kimya sana
siku hizi.
LI-FRANK: Unataka nimpigie nani
makelele.
MANZI: Mbona unanijibu hîvyo
Frankie.
LI-FRANK: Kukujibuje.
MANZI: Hivyo kifupi na majibu ya
chooni.
LI-FRANK: Unataka nikujibuje sasa
kama jibu la
swali lako ni hilo.
MANZI: Kwa hiyo hilo ndo jibu la
swali langu.
LI-FRANK: Ndo màana yake. Kama
unataka
majibu marefu na yenye maelezo,
nenda
kapime UKIMWI kisha ombea uwe
nao. Hapo
utapata majibu uyatakayo na
maelezo mengi
tu.
Manzi anakaa kimya kama dakika
1 hivi.
Anashusha pumzi ndefu ya
kuchoka au kukata
tamaa tuseme.
MANZI: Hivi Frank nimekukosea
nini?
LI-FRANK: Kunipigia simu.
MANZI: (huku kama anataka kulia)
Jamaniii.
LI-FRANK: Nyo nyo nyooo. Msyuuu.
Manzi anasikika anavuta vikamasi
ila hakati
simu.
LI-FRANK: Unakunywa supu.
MANZI: (Huku akiwa na sauti ya
kilio). Hivi
Frank kweli umebadilika hivi?
LI-FRANK: Kwa hiyo unanitukana.
Nimekuwa
Zombie mimi, au mzimu.
Unanitukana Marry, si
ndio eeh.
MANZI: Hapana si hivyo.
LI-FRANK: Ila.
MANZI: Basi nisamehe.
LI-FRANK: Umepiga simu ili iweje.
MANZI: Leo ni siku yako ya
kuzaliwa Frank.
LI-FRANK: Kwa hiyo.
MANZI: Happy Birthday.
LI-FRANK: Kingine.
MANZI: Nakupenda Frank.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: (Akiwa kakata tamaa juu
ya Frank).
Nimekumiss pia, naomba urudi
uwe nami.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: Ndio.
LI-FRANK: Haya kata simu.
MANZI: Frank please. Usinifanyie
hivyo jamani.
LI-FRANK: Sibadili neno, kata
simu.
MANZI: Ok. Aaah! Poa, asante
Frank.
Simu inakatwa.
Baada ya dakika kumi, simu ya
Manzi inaita.
Kucheki, ni Frank. Hata sekunde haiishi
inapokelewa.
FRANK: Umekasirika?
MANZI: Hapana, ila nimeumia.
FRANK: Chungulia dirishani.
Manzi ananyanyuka na kufungua
mapazia ya
dirisha laké. Uso kwa uso na
tabasamu la Frank
pale dirishani.
FRANK: Naamini utadumu na mimi
maishani
mwangumwote. Kama umeweza
kuvumilîa haya
madogo, na kuficha hisia zako
kuwa
hujakasirika, naamin utavumilia
na makubwa
na kuficha ya ndani. I miss you
too, Marry. Ni
wewe pekee uliyenitakia siku
yangu ya
kuzaliwa. Ukiwatoa dada na mama
yangu,
wewe ndiye mwanamke pekee
nitakae kuelewa.
Unajua Marry alikuwaje?
Nisikumalizie uhondo.
Jaribu na wewe kufata njia ya LI-
FRANK uone
kama Manzi wako atakuwaje.
TEHE.
Angalizo

Usijaribu hiyo Kibongobongo hata kama unatania utachwa kabisa

Nianze kukujibu na mapema kuwa sio bongo tu hawapo wa hivyo ni kuwa kwa kizazi chenu hiki cha dot.com. hawapo kabisa. Wa uvumilivu huo waliishia miaka ya sitini. Angalia wanawake wa miaka hiyo hata ungemuudhi kiasi gani, kumpiga kipigo gani asingeondoka au kuvunja uchumba. Hata kama angeondoka haendi kwanza kwao bali atakwenda ukweni kusubiria matatizo yamalizwe na wakwe, wazazi wake wakishirikiana na wasimamizi wa ndoa au washenga. Hawa wenu wa ki-digitali ukiyumba tu kidogo kiuchumi au ukimtishia tu kumpiga ujue huyo si wako tena. Vijana msije mkaujaribu huo mchezo wa Frank mtaachwa wengi. Mimi ni mzee nawashauri!!!!
 
Kibongo bongo msijalibu mnaweza kuharibu mahusiano yenu
 
Nianze kukujibu na mapema kuwa sio bongo tu hawapo wa hivyo ni kuwa kwa kizazi chenu hiki cha dot.com. hawapo kabisa. Wa uvumilivu huo waliishia miaka ya sitini. Angalia wanawake wa miaka hiyo hata ungemuudhi kiasi gani, kumpiga kipigo gani asingeondoka au kuvunja uchumba. Hata kama angeondoka haendi kwanza kwao bali atakwenda ukweni kusubiria matatizo yamalizwe na wakwe, wazazi wake wakishirikiana na wasimamizi wa ndoa au washenga. Hawa wenu wa ki-digitali ukiyumba tu kidogo kiuchumi au ukimtishia tu kumpiga ujue huyo si wako tena. Vijana msije mkaujaribu huo mchezo wa Frank mtaachwa wengi. Mimi ni mzee nawashauri!!!!

Mkuu umenena point asee skuizi kupenda ni kama kuonja sumu yani ukiishiwa tu kidogo utaskia "UKIPATA HELA NTAFUTE" ~ sasa haya mapenzi au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom