Kweli Bongo hamna mdada wa hivi hata wajiteteeje

Kweli Bongo hamna mdada wa hivi hata wajiteteeje

Hahahaaaa wew umepata mazoba....mimi haijawahi na sitakaa nililie mwanaume mimi akaaaa....kisa cha kulia lia ni nini duduu au?

Lol usiseme hivyo unakufuru bali sema hivi "naomba Mungu nisililie mwanaume hata siku moja"
Rai yangu: kisa upo katikati ya mto usitukane mamba vuka maliza mto kwanza.
 
nimekumbuka mbaaal na nimeumia sana nisha kutana na hali kama hiyo.. du.. huwa nikifiria mpaka utumbo unatetemeka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom