Sasa kwanini nauli hayo mashirika mengine nauli ipo 330,000/=bado watu wanalipa nauli nakupanda?ATCL waboreshe Customer Care hicho ndicho watu wanangalia sana wanapochagua huduma fulani hili wakipata hiyo huduma waweze kuridhika.ATCL bei yao ni nusu ya bei ya hayo mashirika mengine. Kwa mfano nauli ya ATCL Mwanz to Dar ni shs 160,000/ wakati nauli hiyo ni takribani shs 330,000/ kwa mashirika hayo mengine.
Biashara ya ndege sio kufanya route nyingi bali ni idadi ya abiria unaowabeba,kabla hawajaanza lazima uangalie challenge zilizopo kwenye hiyo routeMimi nimejaribu kuwaza zaidi na zaidi...
"Huenda ndege za Bangaboi za ATCL zina kasoro hizi:
1/Hazina uwezo wa kusafiri umbali mrefu mara nyingi kwa siku, hivyo inatakiwa safari moja tu kwenda Mwanza, halafu zipaki na kupumzika ili injine zake zipoe.
2/Zinapata shida sana kusafiri mchana, kwa sababu mchana huwa kuna Mwanga na Jua, zikiwa angani zinaweza kupata hitilafu!
3/Wahusika wanaogopa kuzichakaza mapema ikiwa zitapigishwa kazi nzito hivyo kumpa hasira Mheshimiwa rais ambaye ambaye amezinunua kwa gharama kubwa sana!"
Hayo ni mawazo yangu tu nje ya Box.
Tatizo kubwa la ATCL ni poor business planning,poor marketing strategy & poor customer care.Shirika lilipaswa kutangaza nafasi za kazi waajiri staff wote waanze upyaSasa kwanini nauli hayo mashirika mengine nauli ipo 330,000/=bado watu wanalipa nauli nakupanda?ATCL waboreshe Customer Care hicho ndicho watu wanangalia sana wanapochagua huduma fulani hili wakipata hiyo huduma waweze kuridhika.
Kwani kuna offer ya chakula toka MZ to Dar kama ipo wanaogopa order ya vyakula kuwa kubwa plus vinywaji hasa kama mtu atahitaji whiskey na the likes.[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji13] [emoji12] [emoji115]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani kuna offer ya chakula toka MZ to Dar kama ipo wanaogopa order ya vyakula kuwa kubwa plus vinywaji hasa kama mtu atahitaji whiskey na the likes.
No msosi na hali ni usiku? Heri fastjet wanauza lakini unajua ukifika usiku home utalala.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
I beg to differ. Tatizo la ATCL ni hili. Serikali haipaswi kufanya biashara ya ndege. Tayari tuna private wanajitahidi. Serikali wawawekee mazingira ya kushindana kwa usawa.Tatizo kubwa la ATCL ni poor business planning,poor marketing strategy & poor customer care.Shirika lilipaswa kutangaza nafasi za kazi waajiri staff wote waanze upya
Vipi mkuu uliishia darasa la 5 shule?Chadema, wazalendo wote na walio na mapenzi mema na taifa hawalalamikii kutumbua waovu, wazembe au wabadhirifu. Tunasema kununua ndege ilikua ni kosa.
Kipaumbele cha awamu hii tangu mwanzo wanasema ni kumhudumia mnyonge. Ndege haihusu wanyonge. Madawa na madawati ndio kumuhudumia mnyonge.
Kwa sasa tunasema hilo shirika ni la kufuta kabisa. Serikali haina haja kufanya biashara ya ndege. Ni anasa tupu. Waweke mazingira sawa kwa sekta binafsi wapambane.
Alipokua precision mwenyewe walisema kaua ATCL ili afanye kazi. Sasa kuna fastjet wasifiaji wanadai wameshirikiana precision kuhonga mameneja ili ATCL isishindane. Watu wana vituko balaa. Kwanini Fastjet walivyokuja precision hawajafa? Pamoja na wana matatizo lukuki.
Kununua ndege tena taslimu ilikua ni KOSA kubwa la kimkakati na litaigharimu hii awamu mpaka siku warudi kwa wanyonge kukiri kosa, kusahihisha na kuanza kutufanyia watu kazi tuliyowatuma na sio haya MAIGIZO.
Inayotoa Route ni tasisi gani? Tupe Elimu hiyo mkuu!!Msiwalaumu Atcl. Anayetoa ruti ni Taasisi nyingine wao wanapangiwa
Good, ushauri mzuri.Mimi nimeingia kwenye site yao na nimeona kuwa kwa sasa wapo na safari moja ambapo ndege inaondoka dar 17:00 na kuwasili Mwanza 18:45, kuanzia mwezi December watakuwa na flight itayotoka Dar saa 06:00 na kuwasili Mwanza 07:45, kwa maoni yangu sio mbaya kwa kuanzia na huku ukipima upepo wa biashara, hata nauli yao ya 199,000 sio mbaya sana kwa kuazia ukichukulia kuwa tunaenda katika pick season. Ninachowashauri 1. wawe na maamuzi ya haraka wanapoamua jambo (waziri husika awape nafasi board wafanye kazi) bila ya maamuzi ya haraka kwenye airline business siku zote utaachwa nyuma. 2. waboreshe sana website. i.e najua archive yao ipo very rich kwenye information ya mambo ya ndege na culture za miji tofauti lakini wajue biashara kwanza na waache kuweka kila kitu pale front page. 3. kuna root zingine ni hot cake kwa mfano mwanza/Bukoba, ama Znz/Pemba maeneo haya kijiografia yametengwa na mikondo ya maji na hivyo kuwa vigumu kufikika kwa meli waende huko haraka. 4. Waingie kwenye biashara ya kuruhusu kununua tiketi kwa njia ya mitandao ya simu haraka sana.
Labda uongozi wa ATCL wanapewa mgao na Precision na Fast jet kuwa wasipange ratiba saa 2 na saa 6 .
Ukiangalia historia ya makosa ya watendaji ktk nchi hii, mengi yanaepukika. Hata kama ni mtu ambaye hukusomea mambo ya bussiness, huwezi kuwa mjinga ukaweka ndege yako kuwapisha wenzako, wakati kuna opportunity ya kushindana nao. Hata mmiliki wa daladala anafahamu hayo.Kitulo kuna la ziada linatakiwa kufanywa hapo, ukidhani kutumbua ndio solution pekee utatumbua mpaka itafika mahali utajitumbua mwenyewe
Kwenye biashara yenye ushindani kama hiyo unatakiwa uwe mbunifu zaidi na hasa Kwenye matangazo na kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Kwanza unatakiwa ufahamu faida za nchi kuwa na Airline company yake,I beg to differ. Tatizo la ATCL ni hili. Serikali haipaswi kufanya biashara ya ndege. Tayari tuna private wanajitahidi. Serikali wawawekee mazingira ya kushindana kwa usawa.
Hao ATCL wanapaswa kufutwa hizo ndege wauziwe Fastjet au precision. Then kama ni lazima serikali kufanya biashara hiyo, wawekeze fastjet au precision na kuwakuza kimtaji.
Hayo mengine ni sawa na kutafuta tope na kujichafua kisa una maji. Then baada ya hapo unagundua hakuna sabuni kikopo cha kuchotea na maji yenyewe yalikua ya kunywa. Matatizo ya kulazimisha!!!!!!!
No msosi na hali ni usiku? Heri fastjet wanauza lakini unajua ukifika usiku home utalala.
Nite nite. Jana nimechelewa kulala up to 3 am our time naangalia Tennis. Ila nimefurahi Murray kashinda he is no. 1[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haihusiani na mada. Hapo ndo inaonyesha uwezo wako sasa.Vipi mkuu uliishia darasa la 5 shule?