Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

asante dada kwa kutuwakilisha, hii mijianaume itafute jinsia ambayo haijuizi ili waendane nao hao ndo chanzo cha kila kitu, msisimamishe hiyo midudu muone kama kutakuwa na hao wanaojiuza,:crying:
 
usipate shida sana na hao wanaowasema wanawake kwasababu KAMA WANAWAKE WANAJIUZA BASI JUA WANAUME NDIO WANUNUZI hivyo mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wanamakosa.

Siku zote ni heri kuchanika nguo kuliko kuchanika akili.........
 
Poleni sana Dada na mama zetu!!! Tunatofautiana sana kimtazamo kuhusu wanawake! Baadhi yetu hatuafiki kashfa na kejeli zinazotolewa dhidi yenu.
Tunatambua michango yenu na umuhimu wenu katika maisha.
Nataka mfahamu ninyi ni zawadi kubwa kuliko zote Mwenyezi Mungu alizowahi kumpa Adam.a.k.a. ME.
Hivyo basi maneno machafu yanayotolewa dhidi yenu yasiwakatishe tamaa, chukulieni ni STRESS za baadhi yetu za maisha.
Hali ngumu ya uchumi imebana kiasi cha kufanya wanaume washindwe ku reason out..., Tatizo la kiuchumi ndilo linalosababisha tukwepe wajibu na majukumu yetu, hivyo kupelekea kutoa povu dhidi ya wanawake... Am sorry to say this, but it is the truth!!
Hata performance ya sex imeshuka simply bcoz, we can't afford proper food, and the like.
Mbaya zaidi Ina frustrate unapotamani type fulani ya mwanamke halafu huwezi kumpata since you can't afford to take a good care of her....
Hizi ni stress za UMASIKINI.
Poleni kwa kuwa victims, ila msijali tunawathamini na kuwaheshimu!!!
BIG UP TO ALL MAMAS a.k.a WOMEN!!!

Ubarikiwe kwa kuthamin na kuona umuhim wa wanawake ktk ulimwengu huu. Wanaume jitahidin kufikiria kwanza kabla hamjatuhukum. Thamani ya mwanamke ktk jamii ni kubwa kuliko mnavoweza kudhan!
 
Wanaume wanalalama wanauziwa K na wanawake.

Wanawake wanakataa K zao huwa hawawauzii wanaume.

Kwa kifupi kuna mdahalo wa wauzaji na wanunuzi.
uzuri ni kwamba KAMA WANAWAKE WANAUZA BASI WANUNUZI NI WANAUME sasa mtoa rushwa na mpokea rushwa wote lao ni moja.

Siku zote ni heri kuchanika nguo kuliko kuchanika akili mchana mwema na jion karibu kwa glass ya G&T
 
Nyie ndo mamaa.anaowaponda apate laana_mwanafa(mabinti)!
Big up kwa wale wasiouza k zao na vice versa!
 
profession ya kujiuza ilianzishwa na wanaume na wenyewe ndio wanaofanya soko lishamiri, kama biashara ya kujiuza haina thamani kwa nini wanaume wanashiriki kwenye biashara? Nilisikia wanaume Somalia hukimbia familia zao ila wanawake ndio husafiri na watoto wao umbali mrefu kutafuta usalama wakiwa na njaa na kiu inafika wakati mama kama alikuwa na watoto watatu wanakufa wawili lakini anaendelea na safari ili angalau amuokoe mmoja lakini watoto haohao ndio huja kuwatukana mama zao.
 
Nijuavyo mimi UUME NA UKE HAVINAGA MAKOMBO WALA HAVICHACHI
 
angalau na we babu umetia neno lako na kuwagombeza maanake mmmhhh this is too much.
Siyo tabia nzuri kwa wanaouza kiasi cha kufanya watu wajenerolaiz.

Siyo tabia nzuri kwa wanaonunua.

Siyo tabia nzuri kwa wanaojenerolaiz kuwa kila mwanamke ni muuzaji.

Siyo tabia nzuri.
 
inauma sana aiseee laiti ingekuwa akina mama wanarekodi jinsi walivyohangaika na watoto wao mpaka kuwafikisha hapo walipo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
profession ya kujiuza ilianzishwa na wanaume na wenyewe ndio wanaofanya soko lishamiri, kama biashara ya kujiuza haina thamani kwa nini wanaume wanashiriki kwenye biashara? Nilisikia wanaume Somalia hukimbia familia zao ila wanawake ndio husafiri na watoto wao umbali mrefu kutafuta usalama wakiwa na njaa na kiu inafika wakati mama kama alikuwa na watoto watatu wanakufa wawili lakini anaendelea na safari ili angalau amuokoe mmoja lakini watoto haohao ndio huja kuwatukana mama zao.
 
Kila mwanamke akinikosea namusamehe kwa ajili ya mama yangu lakini huwa siachi kumshauri na kumsihi juu ya mwenendo mwema.
Binadamu ni vyombo matendo yetu yanategemea roho iliyo ndani yetu. Kwani sisi ni hekalu takatifu hivyo kilicho ndani yetu ndicho tukifanyacho, so pray for the one you love to be righteous.
 
....................................
Maumivu,
Maumivu ya moyo
Maumivu ya moyo hayana dawa.

Unyanyasaji huu mpaka lini akina mama?
 
katika siku ambazo nimehisi tumbo la uzazi linauma ni leo.....nikimwangalia mwanangu sasa......baadae amekuwa ndo anakaa kijiweni na wenzake anashadadia kabisa KILA MWANAMKE ANAJIUZA wenzake .....wanamuuliza mpaka mama yako....anasema ndio ......dah kiukweli baada ya kufikilia hvyo nimejikuta nalia......na si kawaida yangu kuwa macho mida hii....

EE MUNGU MLINDE MWANANGU....KINYWA CHAKE KINENE MAZURI.....NA AWE NA BUSARA.....NA HESHIMA KWA WATU WOTE BILA KUJALI JINSIA.....AMEN
Eimen!!
 
Mwanaume asiye mheshimu mama ake alaaniwe yeye na kizazi chake.

unalaani kama nani,ucpanic bibie mwenye kulaani ni yule Aliye2umba!tena yeye ka2kumbusha 2waheshimu wazazi!...wewe unaleta ujenda wako hp,kwan mzaz ni mama2?baba sio mzazi ee!.Futa hyo kauli ndg
 
Hujui maandiko wewe, nenda kasome kitabu cha Kumbukumbu la Torati 26

unalaani kama nani,ucpanic bibie mwenye kulaani ni yule Aliye2umba!tena yeye ka2kumbusha 2waheshimu wazazi!...wewe unaleta ujenda wako hp,kwan mzaz ni mama2?baba sio mzazi ee!.Futa hyo kauli ndg
 
Hujui maandiko wewe, nenda kasome kitabu cha Kumbukumbu la Torati 27:16

unalaani kama nani,ucpanic bibie mwenye kulaani ni yule Aliye2umba!tena yeye ka2kumbusha 2waheshimu wazazi!...wewe unaleta ujenda wako hp,kwan mzaz ni mama2?baba sio mzazi ee!.Futa hyo kauli ndg
 
Back
Top Bottom